Atungwa mimba ya pacha na wanaume wawili

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
fc2d37d4048d878e9b1443d632e9e1ed.jpeg


Najua unajiuliza mapacha si kawaida tu?

Mapacha hawa imegunduliwa kuwa walitungwa na baba wawili tofauti.

Taarifa zinasema familia za mapacha hao iligundua kuwa watoto hawakufanana hata kidogo.

Kwa hivyo ikawalazimu kufanyiwa uchunguzi wa celi za DNA.

Mbivu na mbichi ilipobainika, watoto hao walipatikana kuwa hawana uhusiano wa aina yeyote.

Taasisi ya utafiti wa maumbile{ Genetic Association} inasema hali kama hii hufanyika japo siyo kawaida.

Mwanamke anaweza kupata mapacha na baba wawili tofauti ikiwa atajamiana na wanaume wawili katika kipindi cha siku chache wakati ambapo mayai yake yameiva.
======================

A VIETNAMESE woman has given birth to a rare set of bi-paternal twins — twins with different fathers — according to a Vietnamese scientist and the nation’s state media.

Prof. Le Dinh Luong, president of the Genetic Association of Vietnam, says DNA testing at his Hanoi lab confirmed the twins have different fathers, the first such case that he knows of in Vietnam, with only seven such cases reported in the world as of 2011.

Luong declined to give details because of confidentiality with his client.

Online newspaper Dan Tri reported that a 34-year-old man from northern Hoa Binh province had DNA testing after being pressured by his family because the twins did not look alike.

One has thick wavy hair while the other has thin and straight hair.

To rule out a hospital mix-up, DNA testing of the mother showed that she was the mother of both children, the report said.

The twins who are now two years old were born the same day and have the same sex, it said.

Bi-paternal twins could happen when the mother has sex with two different men within one to seven days in an ovulation period, says the president of the Royal Australian and New Zealand College of Obstetricians and Gynaecologists, Professor Michael Permezel.

“She might ovulate two eggs that month. One is fertilised by one man and the other is fertilised by another man. Sperm can survive for up to five days, so they could be fertilised on different days,” Prof Permezel told news.com.au.

While bi-paternal twins are very rare, Prof Permezel says he has seen some cases in Australia.

“In the couple of cases I’ve seen, the woman wasn’t married to either man,” he said.

“In an established marital relationship it’s extremely uncommon that the husband isn’t the father.”

Source:
news.com.au
 
nina washkaji zangu mapacha lkn hawafanani hata kidogo nina wasiwasi BI MKUBWA wao alifanya manuva dizaini hii baada kupata utafiti huu nimeingiwa na wasiwasi kidogo 7bu mmoja kafanana sana na mdingi wao araf mwingne aijulikani kafanana na nani na hana tabia za ajabu tofauri na familia yao hilivyo
 
nina washkaji zangu mapacha lkn hawafanani hata kidogo nina wasiwasi BI MKUBWA wao alifanya manuva dizaini hii baada kupata utafiti huu nimeingiwa na wasiwasi kidogo 7bu mmoja kafanana sana na mdingi wao araf mwingne aijulikani kafanana na nani na hana tabia za ajabu tofauri na familia yao hilivyo
Kawaida tu hiyo. Mapacha wanaweza kuwa wa kufanana au wasifanane. Wakufanana lazma watatoka katika mbegu moja lakini wasiofanana hutoka katika mbegu tofauti zinazoweza kuwa zimetoka kwa mtu mmoja au watu tofauti. Hao washkaji zako sio identical twins.
 
Mi wasiwasi wangu ni kuwa kunahitajika tena kufanya utafiti upya juu ya sayansi utungishaji mimba. hizi tafiti zilizopo nadhani zimepitwa na wakati, tunakoelekea itafika siku mama kamzaa mwanae kabisa halafu vipimo vya DNA vinasema mtoto hana DNA za mama husika
 
Mi wasiwasi wangu ni kuwa kunahitajika tena kufanya utafiti upya juu ya sayansi utungishaji mimba. hizi tafiti zilizopo nadhani zimepitwa na wakati, tunakoelekea itafika siku mama kamzaa mwanae kabisa halafu vipimo vya DNA vinasema mtoto hana DNA za mama husika
Kwani hujui kitu kinaitwa "surrogate mother". Google hyo kitu.
 
Back
Top Bottom