Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nyinyi watu nyinyi km hamsomeki vile mnaagenda gani hapa? Manoah, Paloma, Mimisa na Polisi ben..
Passion Lady mie najua pa ku mkamatia shemeji yangu mpenzi.. tuwe tuna wa ng'oa mifupa ya ugoko au unaonaje?[/QUO
mi utanipata wapi Polisi ben
nimetega mabomu mpaka mlangoni
na popote napopita nasindikizwa na kikosi changu!
nitakurudisha depo wewe ohooo!
Yap, Salute kwako kamand Polisi ben tupo kwenye mipango ya kufanya mambo soon, nakutegemea mkuu
Passion Lady mie najua pa ku mkamatia shemeji yangu mpenzi.. tuwe tuna wa ng'oa mifupa ya ugoko au unaonaje?[/QUO
mi utanipata wapi Polisi ben
nimetega mabomu mpaka mlangoni
na popote napopita nasindikizwa na kikosi changu!
nitakurudisha depo wewe ohooo!
Wapi manoah kanituliza tu vinginevyo ningekung'oa meno tu Passion Lady wewee huwezi nirudisha mm depo
Tunapendana sana, una lingine unalotaka kujua?
ww unaonaje? c tumetokelezea au?
wivu mbaya jamani!
mmependeza sana usipime
msalimie huyo bibie lol!
wivu wa nini!
hebu niache mie
nitaomba unipatie cv muda si mrefu
nina mashaka na namna ulivyopata upolisi!ova!
jishaue tu na huyo Polisi ben!