Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Mkuu nimekubali we noma unayajua mambo haiwezekani huyu mtoto akugande hivi umempa nn huyu?
we goma, ila najua pa kukukamatia ah ah ah!
utakua suprised na matokeo usiporekebisha mapema
wivu mbaya jaman
Mie, nababaika basi? Kama nilimpoteza Lara 1 , Ciello na wengineo sembuse yeye'
nimeitambua nafasi yanguMie, nababaika basi? Kama nilimpoteza Lara 1 , Ciello na wengineo sembuse yeye'
we acha tu..sema siwez sema hadharan
hw r u Passion Lady...kuna nn umu ndani mbna sielewi
kwa mujibu wa figganigga.mia
ni kwamba wewe sasa unapika na kupakua
kwake,tht mins manoah hana chake
tuthibitishie hilo tafadhali! Baba V uwe shahidi!
mkuu mimisa kakudanganya. Mimi hicho kiumbe aliye nigawia ni manoah kwa kuniambia amepata kifaa kipya. kwakua nampenda mimisa nikakubali!. huko tunakoenda naona tutatoana meno juu ya huyu kimwana mimisa. nashangaa kwanini manoah anakula matapishi wakati kashaniachie nrembo na kusema ameanza kurusha ndoano kwa Passion Lady. kiendacho kwa mganga?.....miapoa ni hilo tunilitaka kujua my dear 1 mimisa!
Mmmmmh natama ummwage af ,,,,,.,,na mm hapa.
pouwa mamii sitarudia tena
SAWA MY DEAR