Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
mpendwa Andindilile
manoah ndio kashanyang'anywa mchumba!
nimekuja my manoah
Usi mention figganigga wala ku mquote hadi nitapo kuruhusu mimi. I love you so much, mimi bado nimelala najihisi uchovu
ivi unajua upendo wangu kwako ni mkubwa kama imani itoshayo kuhamisha milima?
nitakua nisham mention maana nimeona kalonga yasiyo ya ukweli mahala...mm ndo nimetoka sangamwalugesha..
Polisi ben , huyu binti nahisi tumeachana tokea jana asubuhi
Naamini neno lako, umependeza kweli, leo kwanini huja niamsha?
Naamini neno lako, umependeza kweli, leo kwanini huja niamsha?
mgomo unaendelea
we goma, ila najua pa kukukamatia ah ah ah!