Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
- Thread starter
-
- #201
akha!mi siwezi kupiem
mme wa mtu naogopa minundu hahaa!
umemuona Nanji ndani ya nyumba?acha woga
hakutakii mema huyu yaani ungeingia tu ungenikuta mwenyewe sasa kitakachofuata sijui mwenyewe na upolisi wake angeomba msaada wa kikosi cha JWT
mumeo mmbayaaaaaaa!
kumbe alitaka tugongane kunako piemuuuu lol!
sasa ctuk
tulikua hatujuani mbona
tungetoana macho leo hahaa!
wifi umekuja kumbe
nilikua na kaugomvi na kaka!
ugomvi wa ndugu usiingilie likini!
karibu nyumbani hahaaaa!
Hahahahaaaa sawa wifi siingilii nitaingilia pale napohisi unahatarisha afya ya mume wangu c unajua ndo usingizi wangu huo!!! hahahaaa
lazima nimuweke sawa
coz hawa mapolisi hawaaminiki!
umeona eeh unamjua vizuri kaka yako
bi mkubwa aliteseka eti
mpaka kumfikisha hapo ilikua shughuli!
Oooh kazi ninayo!!! c unaona hata hapo anaandika "Attractive Woman" wkt mie mkewe nipo namsubiria tu arudi home anyooshe maelezo
nisamehe kabla cjaja, usiponisamehe sikuji home.