Attention to John Mnyika na Halima Mdee

Attention to John Mnyika na Halima Mdee

Ktk kijiji cha Kombo wilaya ya Moshi vijijini kata ya Kibosho magharibi yamegundulika madini aina ya almasi sasa sijui itakuwaje na ktk makazi ya watu
 
Mambo ya maendeleo umeyaongea, ila umekosea kuyaweka kisiasa zaidi.

Jinsi ulivyoandika as if lengo liwe ni kuwin votes kwa ajili ya chadema. Tabia hii inasababisha wakati mwingine kupatiwa vikwazo visivyo na ulazima toka kwa watu wenye itikadi tofauti.

Jitahidini kufikiria maendeleo zaidi kuliko affiliation za vyama. Wabunge wakishachaguliwa wanawatumikia watu wote na kwa lengo la kuleta maendeleo sio kuwawin watu ili wawapigie kura uchaguzi ujao. Ikiwa hivyo yale maeneo ambayo itikadi zake ni fixed against kiongozi hayataendelezwa.

Hongereni kwa jitihada zenu.

Ushauri: Fungueni akaunti ya barabara ya mtaa. Mkiandika taarifa kama hizi andikeni akaunti hiyo na kuwaomba wanavutiwa na shughuli hizo za maendeleo wachangie. You never know anaweza kutokezea "Sabodo" kuwasaidia. Ninachojaribu kusema ni kwamba shirikisheni na wadau wengine wa maendeleo hata kama sio wakazi wa mtaa huo au wanasiasa.

Huu ushauri wako anzia nao kwenye chama chenu cha magamba. Yule mzee wa mikasi anapoenda kwenye shughuli zake za kukata utepe, basi msivae miguo yenu ya magamba kwani Zahanati ya Kijiji ni shughuli ya umma na sio ya CCM.
 
Back
Top Bottom