Atolewa vipande 97 vya risasi baada ya kushambuliwa!

Atolewa vipande 97 vya risasi baada ya kushambuliwa!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,199
Hebu cheki watu waliomiminiwa risasi za kifuani takribani 97.
Screenshot_2018-01-07-10-23-35.png
Screenshot_2018-01-07-10-23-35.png
 
Una lengo la kusema alizoshambuliwa Lissu ni chache??
Au ni kawaida tu kupona kwa watu wanaoshambuliwa risasi nyingi??
Nimewahi chance!!

Ndo lengo lake huyoo ki.laza wa Lumumba.

lisu anawatesa sana.

Wanakosa adi UTU
 
Hakuitisha press conference huyo
Yaani huwa nashindwa kukudefine kama una akili timamu au la! Yaani hii albadir wacha iwachezeshe shere tu hadi mjitaje wenyewe!
Ile press ya Lissu inawaumiza kichwa eeh! Mbona ya Nairobi ni trailer tu, subirini baba lao kutoka Brussels atakapokuwa anahojiwa na mavyombo makubwa ya habari ya dunia ndipo mtanena kwa lugha na kutajana!
 
Kwa sababu ya upendo wa mwenyezi mungu ni mkubwa ... tundu lissu mungu anampenda kuliko kawaida na huo ni mfano kuwaumbua wachawi kama nyinyi na bado ... huu mwaka hamtomaliza vizuri naapa . Mtakimbiana wenyewe pale lumumba.
 
Kiingeleza kigumu sana
Toka lini risasi/ bullets zikawa sawa na pellets?
Nijuavyo pellets ni vipande vya risasi na sio risasi
After he was shot!
 
Yaani huwa nashindwa kukudefine kama una akili timamu au la! Yaani hii albadir wacha iwachezeshe shere tu hadi mjitaje wenyewe!
Ile press ya Lissu inawaumiza kichwa eeh! Mbona ya Nairobi ni trailer tu, subirini baba lao kutoka Brussels atakapokuwa anahojiwa na mavyombo makubwa ya habari ya dunia ndipo mtanena kwa lugha na kutajana!
Mavyombo makubwa ya habari ya dunia ndio nini?
 
Mkuu kusema uongo ili kufunika ukweli si sawa hata kidogo
Hakuna mtu anayeweza miminiwa 97 na akabaki,kiufupi anakuwa chujio

Ukute alipigwa na gobole
google search
 
Mtoa mada nenda google uangalie maana ya pellets ujione kilaza
 
Yani CCM mlitaka kuitoa haki ya Lissu ya kuishi mkafeli sasa leo haki ya lissu ya kulia mnataka kuipokonya kwasababu tu huko India kuna mtu alipigwa risasi nyingi alafu akakaa kimya???
Kwani kakatwa mdomo?
 
Back
Top Bottom