hapa akaze roho amtindue nyoka, nyoka akidondoka chini atamtemea simba mate usoni, ili simba ajiokoe na sumu atakimbilia kwenye maji kuosha sumu, mamba wale lazima watimke wakimuona mzee wa nyika. Jamaa ashuke zake taratibu akipiga mluzi kama ana karanga mfukoni atupie moja moja mdomoni kwa raha zake.