Hello wanaJF, heshima kwenu
Kama una swali lolote kuhusu huduma za ATM za umojaswitch tuulize kwenye twitter uswegelm au @Linassamson mara zote tumia hashtag #UmojaSwitch
- tuambie kuhusu experience yako ya ATM za umoja
- Tupe mapendekezo ya maeneo gani ungependa tuboreshe.
- tuulize kama uko na swali lolote kuhusu ATM za Umoja.
- Tufikie wakati wowote utapohitaji kufanya hivyo kuhusu huduma zetu za ATM
Wewe/ninyi ni kama nani hapa!
Nina wasiwasi na wewe,Ebu funguka zaidi na ikiwezekana weka na some more informations ili watu wasikutilie shaka,otherwise u must be nigerian swindler/trickster!Sisi UmojaSwitch, mtandao unaomilikiwa na mabenki, ambapo kwa pamoja (haya mabenki) wanamiliki ATM zilizoenea nchi nzima, naamini umeshawahi kuona ATM zetu.
Nina wasiwasi na wewe,Ebu funguka zaidi na ikiwezekana weka na some more informations ili watu wasikutilie shaka,otherwise u must be nigerian swindler/trickster!
Sisi UmojaSwitch, mtandao unaomilikiwa na mabenki, ambapo kwa pamoja (haya mabenki) wanamiliki ATM zilizoenea nchi nzima, naamini umeshawahi kuona ATM zetu.
Hello wanaJF, heshima kwenu
Kama una swali lolote kuhusu huduma za ATM za umojaswitch tuulize kwenye twitter uswegelm au @Linassamson mara zote tumia hashtag #UmojaSwitch
- tuambie kuhusu experience yako ya ATM za umoja
- Tupe mapendekezo ya maeneo gani ungependa tuboreshe.
- tuulize kama uko na swali lolote kuhusu ATM za Umoja.
- Tufikie wakati wowote utapohitaji kufanya hivyo kuhusu huduma zetu za ATM
"Your financial institution is unavailable" What the ef does this msg mean?
And I have 1
Kwanini ATM zenu zinatoa ela chafu sana?kuna siku nilitoa pesa zilikuwa chakavu kupitiliza na baadhi zilikuwa zimelika kama zimeliwa na panya?
Kwanini ATM zenu zinatoa ela chafu sana?kuna siku nilitoa pesa zilikuwa chakavu kupitiliza na baadhi zilikuwa zimelika kama zimeliwa na panya?
Hello wanaJF, heshima kwenu
Kama una swali lolote kuhusu huduma za ATM za umojaswitch tuulize kwenye twitter uswegelm au @Linassamson mara zote tumia hashtag #UmojaSwitch
- tuambie kuhusu experience yako ya ATM za umoja
- Tupe mapendekezo ya maeneo gani ungependa tuboreshe.
- tuulize kama uko na swali lolote kuhusu ATM za Umoja.
- Tufikie wakati wowote utapohitaji kufanya hivyo kuhusu huduma zetu za ATM
Nilitaka kujua viwango vya makato ambavyo mteja anakatwa pindi kuchukua pesa tafadhari
........Uswege,Mimi ni mtumiaji wa hizo ATM,tatizo hasa ilea pale bamaga petro station hakuna network kila Mara.Ile ya mwenge adjacent nanjeshini karibu na BRU haifanyi kazi kabisa.................naomba unifahamishe locations za ATM jijini Mwanza.
mwenzetu
Asante Mwenzetu,
- Tumesikia kuhusu ATM ya Bamaga, Mwenge kama ni ile ilikua karibu maduka ya vifaa vya ujenzi, imehamishiwa sehemu nyingine, lakini kuna ATM nyingine pale kwenye branch ya AZANIA opposite na soko la matunda mwenge.
- ATM zilizoko Mwanza
- Mwaloni kwenye branch ya AZANIA
- Kenyatta Road kwenye branch ya CBA
- Nyerere Road kwenye branch ya AZANIA
- PPF Plaza
- Liberty Street kwenye branch ya Twiga Bancorp
....................asante sana kwa taarifa,.................
Mwenzetu