ATM za UmojaSwitch

ATM za UmojaSwitch

Hakuna kitu inaniboa KUHUSU UMOJA SWITCH kama hii sms "YOUR FINANCIAL INSTITUTION IS NOT AVAILABLE"
 
Mkuu asante kwa msaada wako kweli sikumbuki tarehe lakini ilikuwa mwezi wa kumi mwaka jana next tym nikipata tatizo nitakushitua halafu kila kitu nilibadilisha ATM card pia nili renew kwa hiyo nahisi hata namba za kadi zilibadilishwa na mbaya zaidi tarehe niliuofanya yransactipn siikumbuki tena

Hamna tabu, nxt time ukipata tabu na kama unahitaji service kutoka kwangu/kwetu, tupo kwa ajili yenu.
 
Uswe nimekupata mkuu kila la heri pole na kero kutoka kwa baadhi ys Members humu
 
Last edited by a moderator:
Uswe, hakuna mpango ya online banking?

Mpango wa Online Banking upo, lakini nasikitika kwamba sio mwaka huu.

31 July 2012, tutaanza duduma mbili

1. Cardless Transfers (mtu mwenye ATM card yetu ataweza kutuma kwa mtu asiye na kadi)
2. Inter-bank transfer (mteja mwenye kadi yetu ataweza kutumia kwa mteja mwingine wa benki yeyote ambayo ni member wa Umoja)

Mwezi wa kumi tuna-Launch another channel of delivery - MOBILE, kwa hii wateja wetu wataweza kutuma pesa au kulipia bills mbalimbali kupitia simu zao na direct kutoka kwenye bank account zao na sio kutoka kwenye mobile wallets.


Online banking iko kwenye plan za mwakani (2013)
 
ATM za Mabenki mengine yote ktk umoja Swtch ni nzuri but ATM zilizo ktk umiliki wa Bank ya Posta ni za ovyo na Mbovu na Muda mwingi hazifanyikazi, Pili Kadi ikitumbukia kwenye Mashine isiyo ya benki yako inachukua Wiki zaidi ya 5, why? Mwisho ATM za Akiba Na BOA zinakata fedha kwenye ac lakini hela haitoki kwenye mashine na wanachelewa kuirejesha kwenye ac,


  1. Tunafanya Maintenance mara kwa mara, ninategemea kero nyingi zitapungua sana hivi karibuni, pia tuta-launch website yetu na huduma kwa wateja ili kusikiliza maoni na report kutoka wateja wetu - Kwetu mteja Kwanza!
  2. Kama ATM yako imemezwa kwenye ATM ilitoko ktk branch nategemea uwe umeipata ndani ya masaa 48, kama ni ATM iliyo mbali na branch basi nategemea uipate ndani ya siku tano za kazi. Usiporidhika na huduma kutoka kwa ofisa wetu yeyote, tafadhali wasiliana na sisi, Tutarekebisha haraka!
  3. Ilitokea mashine haijakupa pesa, system inarejesha kwenye account wakati huohuo, kama mashine haitaresha (inaweza kutokea) benki wanakurudishia pesa the next working day, kama ikichelewa hii ni exception na tafadhali wasiliana nasi.
 
vizuri, so utapotaka kujua kitu chochote wakati wowote, tupate kwenye hizo twitter account mbili, remember hashtag #UmojaSwitch au kwenye facebook page, sasa hivi huduma kwa wateja ziko kwa kila benki, wakati tunaanza mwaka 2007 tulikua benki 6 sasa hivi benki ziko 23, sasa tunalazimika kufikiri tofauti, ndio maana tunafunguka zaidi hata kwenye mitandao ya kijamii na pia Plans are underway to have centralized call centre.


Kama hutajali naomba uzitaje.
 
Kama hutajali naomba uzitaje.

Wala Sijali Never give up.


  1. Akiba
  2. Advans
  3. Azania
  4. Amana
  5. BOA
  6. CBA
  7. TWB
  8. Mkombozi
  9. DCB
  10. Uchumi Commercial Bank
  11. TIB
  12. Mwanga Community Bank
  13. NIC Bank
  14. Njombe Community Bank
  15. Mufindi Community Bank
  16. KageraCommunity Bank
  17. Tanzania Postal Bank
  18. Peoples Bank of Zanzibar
  19. Twiga Bancorp
  20. Maendeleo Bank (hii mpya)
  21. Efatha
  22. Kilimanjaro
  23. Mbinga Community Bank.

by end of this year kutakua na member bank 27.
 
Back
Top Bottom