Atlas schools usafiri wenu ni kero tupu

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,413
Binti Yangu anasoma apo Shule ni kwenu,,,,Nimefanya utafiti wa kutosha juu ya huduma yenu ya usafiri na kugundua ni kero kwa kila MTU....madereva wenu hamuwapi training?? Kauli mbovu,,chafu kwa watoto,hamujali muda,wala umri wa watoto mnaowabeba....Nina jamaa zangu hawajaleta watoto hapo kwenu mwaka huu kwa sababu hii...tunaomba mjirekebishe haraka sana
 
Mpeleke mwanao Michael Mausa wakamtoe kafara .. Atlas ni shule ya kiujanjaujanja at a location haukustui mkuu
 
Back
Top Bottom