Atlas Primary School - Madale, Dar

Nitakwenda kufuatilia J3 InshaAllah, si mkono wa kushoto ukitokea Mjini Unachukua barabara ya upande wa kanisa katoliki? Shukrani sana
Naaam., ni upande wa kushoto ukitokea Mjini!
 
Kama ni hivyo si mzazi utafute gari yako binafsi
 
Niliamua kumhamisha mwanangu hiyo Atlas Campus ya Madale sababu ya hiyo shule kutokujali mtu yeyote yule.Sasa hivi tunasumbuana nao kwenye kunipa namba ya uhamisho ya mwanangu.Hao jamaa sijui wakoje
Mwanangu ndio anaingia mwakani std 7 atlas ya madale,kiukweli hali niliyomuona nayo jana baada ya kurudi nyumbani inasikitisha,mtoto kadhoofu,chakula kibovu,maji ya kunywa ni shida,nafanya mchakato wa kumuhamisha!
 
Mhamishe mapema sana,na suala la maji kweli kwa pale ni pasua kichwa nilishuhudia watoto wakinywa maji ya bomba nilichoka kabisa.Halafu huwa hawaruhusu mtoto kuja na maji ya kunywa kutoka nyumbani
 
Mhamishe mapema sana,na suala la maji kweli kwa pale ni pasua kichwa nilishuhudia watoto wakinywa maji ya bomba nilichoka kabisa.Halafu huwa hawaruhusu mtoto kuja na maji ya kunywa kutoka nyumbani
Tatizo wanadai wanadai washapeleka namba wizarani kwa wanaoingia std 7,so hakuna uhamisho kwao!
 
Mhamishe mapema sana,na suala la maji kweli kwa pale ni pasua kichwa nilishuhudia watoto wakinywa maji ya bomba nilichoka kabisa.Halafu huwa hawaruhusu mtoto kuja na maji ya kunywa kutoka nyumbani
hii ada kwa miezi 3,halafu mtoto apewi maji na chakula cha kujitosheleza,hapo hapo kwenye mabweni kuna kunguni wa kumwaga,mtoto akiumwa mzazi aujulishwi!jamaa ovyo sana!
 
Tatizo wanadai wanadai washapeleka namba wizarani kwa wanaoingia std 7,so hakuna uhamisho kwao!
Hilo jambo hata mimi huwa wananiambia hivyo hivyo kwamba wameshapeleka namba wizarani kwahiyo kuna ugumu japo mimi mwanangu alikuwa darasa la pili.Mpaka sasa naendelea kusumbuana nao lakini mtoto hapo nilishamtoa namba itafuata baadaye
 
hii ada kwa miezi 3,halafu mtoto apewi maji na chakula cha kujitosheleza,hapo hapo kwenye mabweni kuna kunguni wa kumwaga,mtoto akiumwa mzazi aujulishwi!jamaa ovyo sana!
Mimi niliwavumilia term mbili tu nikamhamisha mtoto haraka mno.Maana nilijaribu kuangalia mwenendo wao nikaona hapana,kwanza darasa lina wanafunzi wengi sana kiasi kwamba mwalimu kuwamudu watoto wote kwa ufasaha inakuwa ni ngumu.Halafu hawana diary kwa ajili ya mawasiliano ya mtoto na walimu
 
Peleka malalamiko shuleni kwenye vikao husika. Na ukiona hakuna utekelezaji HAMISHA MTOTO kamtafutie shule nyingine
 
Hii hatari kuna maradhi siku hizi hasa ya milipuko kama ni kweli,uongozi uchukue hatua za dharula kabla serikali yetu haijachukua hatua.
 
Watafutie usafiri binafsi, sitaki kuamini kama unashindwa. Maana option bora ya kuwahamisha haiwezekani na unataka kufuata taratibu hatua baada ya hatua.
 
hii ada kwa miezi 3,halafu mtoto apewi maji na chakula cha kujitosheleza,hapo hapo kwenye mabweni kuna kunguni wa kumwaga,mtoto akiumwa mzazi aujulishwi!jamaa ovyo sana!
sijui wtzn tuko je ulipie 860,000 mototo ahudumiwe kama Hotelini kila kitu kina "opportunity cost" Fesa boys kila kitu kipo ada ni 16.5m boarding mpeleke uko ilianawili vzri
 
Hilo ndii la muhimu kuliko kung'ang'ania utafikiri mwanao anasoma bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…