Msikivu kivipi kama hasikilizi wateja wake? Au msikivu kwa mkewe?Namba ya.mmiliki wa shule hii hapa
0754651656 anaitwa Rugambwa.
Ni msikivu sana!
Msikivu kivipi kama hasikilizi wateja wake? Au msikivu kwa mkewe?
Duuuh!!!Atlas campus ya Madale madereva ni washenzi sijapata kuona,January Mimi namuhamisha kijana wangu,kwa haraka zao hajali kabisa vituo mlivyokubaliana kumchukua na kumshusha mtoto wanamshusha mwanangu Kwa Azizi Ali barabara ya 2 ways avuke mwenyewe tena jioni badala ya kuja kumshushia Pile!!? hawa jamaa ni jeuri sana
Sitaki kuja kulia kutokana na ujeuri wao acha nije nilie kwa mipango ya M/Mungu
Nimependa unavyompenda mwanaoAtlas campus ya Madale madereva ni washenzi sijapata kuona,January Mimi namuhamisha kijana wangu,kwa haraka zao hajali kabisa vituo mlivyokubaliana kumchukua na kumshusha mtoto wanamshusha mwanangu Kwa Azizi Ali barabara ya 2 ways avuke mwenyewe tena jioni badala ya kuja kumshushia Pile!!? hawa jamaa ni jeuri sana
Sitaki kuja kulia kutokana na ujeuri wao acha nije nilie kwa mipango ya M/Mungu
Mjeuri balaa na ana majibu ya hovyoNamba ya.mmiliki wa shule hii hapa
0754651656 anaitwa Rugambwa.
Ni msikivu sana!
My dear mtoto anakaa kwa azizi ali unamleta madale? Mbona mbali sana si angeenda hata ya ubungo?Atlas campus ya Madale madereva ni washenzi sijapata kuona,January Mimi namuhamisha kijana wangu,kwa haraka zao hajali kabisa vituo mlivyokubaliana kumchukua na kumshusha mtoto wanamshusha mwanangu Kwa Azizi Ali barabara ya 2 ways avuke mwenyewe tena jioni badala ya kuja kumshushia Pile!!? hawa jamaa ni jeuri sana
Sitaki kuja kulia kutokana na ujeuri wao acha nije nilie kwa mipango ya M/Mungu
Katika Report za wanafunzi walizopewa jana nimeona wamezungumzia ili la usafiri kwamba wameagiza gari zingine na wamebadilisha kampuni ya usafiri natumaini watajirekebisha.Jamani kwa wale wote tulio na watoto katika shule hii ya Atlas, naomba kwa wale tuliopiga kelele sana kwa ishu ya usafiri tusaidiane tena kupiga humu jamvini ili mamlaka husika zisaidie...
Mimi nina watoto wawili katika shule hii, darasa la tatu na mwingine darasa la kwanza... Shule hii kitaaluma iko poa sana. Tatizo wanafeli sana ktk ishu ya usafirishaji wanafunzi.
Madereva wa shule hii hawana weledi ktk kazi zao, wenyewe kumuacha mtoto ubungo wakati alipaswa kushuka tcra cyo tatizo kwao.
Tumejaribu sana kuuelekeza uongozi wa shule hii kuhusu hili lakini naona wanatia pamba masikioni, baadhi ya magari yao ni mabovu, pia yako machache kiasi kwamba watoto wanapakatana.
Nimekwisha andika barua juu ya hili kwenda wizarani na nasubiria action yao dhidi ya shule hii. Watoto siwahamishi kwakua napenda mfumo wao wa ufundishaji ndiyo maana napambana wawe smart.