Atlantic,Sport and News

Atlantic,Sport and News

xivii09

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
269
Reaction score
157
wadau wa matkenolojia naombeni msaada wenu waina yte nimekwana nina dish na kimamuzi cha strong sasa kuna channel tatu tu zinashika nazo ni atlantic,sport na news basi zingine zte hman kitu mbaya zaidi hata hizi za atlantic hazionyeshi image zinasema scrambled channel sasa nimekwama hata za local kama ITV na TBC hola naombeni utaalamu kidogo jamani kwa hili:shetani:
 
natumia setelite ya INTEL701/Ku
 
so dawa yke nn jombaa ayo mambo ya position yatanisaidia je? kuzifanaya zionyeshe izo scrambled channel na kuongeza FTA hasa za local
 
Mimi sio mtaalam, isipokua nafahamu kuwa ITV, EATV, TBC, CAPITAL ni C Band na sio KU Band.

hata hzo za atlantic, sports na news ni c band mm hapa maskan znadaka tangu mwaka 2008 na huwa cjui nizifanyaje... Na signal yake ni kubwa sana ikipungua ina kua 85 percent lakn kawaida ni 90 mpaka 93... But SCRAMBLED 😀OH:
 
Mimi sio mtaalam, isipokua nafahamu kuwa ITV, EATV, TBC, CAPITAL ni C Band na sio KU Band.

hata hzo za atlantic, sports na news ni c band mm hapa maskan znadaka tangu mwaka 2008 na huwa cjui nizifanyaje... Na signal yake ni kubwa sana ikipungua ina kua 85 percent lakn kawaida ni 90 mpaka 93... But SCRAMBLED :doh:
 
Back
Top Bottom