Atlanta’s “largest and oldest” Mosque faces tax sale

Status
Not open for further replies.
Nackia harufu ya panya aliyekufa kwenye huu uzi
 
1382425_804735656283893_8518149872695769684_n.jpg
[/QUOTE

]

FUNNY AND HOPELESS LOT
 
Bahati nzuri sisi hata jangwani tuna pray, sio lazima ndani ya jengo......
 
Wagalatia bila Jengo lenye Kengele km Tairi ya Tractor na picha ya sanamu Reeeeefu basi ibada haipandi kwa pilato.
 
Sidhani kama sisi waislam tunaweza kuunusuru huu mskiti hasa ukiangalia sadaka tunazotoa kwenye miskiti yetu. watu wanachanga mia mbili mbili wakati wakristo mtu kutoa laki kila jumapili ni jambo la kawaida sana.
Sisi tujifunze kwa wenzetu hawa.

Ile kashfa ya ESCROW MAASKOFU na WACHUNGAJI walipiga zaidi ya milioni 900.

Sasa huyo akitoa Laki ataskia maumivu gani?

Sisi sio WEZI wa mali ya ummah na wengi wetu tunatafuta RIZKI za Halali sio Hawa MATAPELI kazi kusamehe madhambi na Kutoa pepo kila siku kwa Bei maalum.

Na Wewe ni ktk Wale wale Waefeso usie jitambua.
Andaa laki mpelekee gwajima Akutoe pepo.
Fanya fasta, manake kuanzia mwezi ujao Bei inapanda.
Kutoa Pepo itakuwa 150,000 +VAT.
 
Laki laki zinasaidia kununua mavoghi na chopper. Pia kugonga wake za watu, bila kumwacha mkeo!
 
Ile kashfa ya ESCROW MAASKOFU na WACHUNGAJI walipiga zaidi ya milioni 900.

Sasa huyo akitoa Laki ataskia maumivu gani?

Sisi sio WEZI wa mali ya ummah na wengi wetu tunatafuta RIZKI za Halali sio Hawa MATAPELI kazi kusamehe madhambi na Kutoa pepo kila siku kwa Bei maalum.

Na Wewe ni ktk Wale wale Waefeso usie jitambua.
Andaa laki mpelekee gwajima Akutoe pepo.
Fanya fasta, manake kuanzia mwezi ujao Bei inapanda.
Kutoa Pepo itakuwa 150,000 +VAT.

Kilaini alipewa Tsh 80m na Ruge, Ngeleja alitoa Tsh 10m, Lowasa yeye hutoa Tsh 200m kila muwaliko !
Zinaishia kununulia masanamu makuubwa SOGHOO
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom