unaibiwa na nani lizzy jamani?kumbuka ili tujue lazma ajaribiwe,,,,khs ww haina shida amesema uko kny kundi la kukwepwa ndo maana anataka uwepo kny mkesha,,karibu sana naamini bda ya hapo hutakwepwa tena,,lolz

...mnh, binafsi nadhani "Rijali" wengi hutumia traits karibia au zote 12 kipindi cha baleghe na onja onjaring zao mpaka siku walipoamua kuweka manyanga chini na kuchukua jumla mama mwenye nyumba. Maishani unakutana na "kuku" wa kienyeji, "kuku" boi, nk ambao different approaches zinahitajika "kwa kitoweo"
The sneak inasaidia Uzeeni bana. Ile nguvu ya kukimbizana ishakwisha...BP juu, kisukari na flat battery inasababisha uwe mpole tu!
Kwa warning hiyo itakuwa ngumu kupata mwenza,manake kila mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae anaingia sehemu moja au mbili....sijui tufanyeje jamani? watengeneze tu matoy tuondokane nao tukitaka watoto tunafanya kama Elton John...simplified life.....l.o.l
Thanks MMK:washing: