ha haaa, lol!
ndo uwe unakuwa real, except ID......
huoni kwa nini mimi napenda kuwa real? sitaki kujichanganya
ahahhahahhahhaha mi kule huwa siongozani na mtu!mi mwenywe huwa naenda nikiwa nimefumba macho ili nisione ninakoelekea!sembuse kwenda na mtu!lol snowhite labda tufanye mpango tuhamie kule JW ukawape experience ya wachagga walivyo fiti? LOL
NGoja nikushike mwaya....najua sitaishia hivi hivi:tongue:
ha haaa, safi sana....Watu kama sisi tukikosekana jamvini, basi JF itakua inaboa kama kitabu cha katiba...mwanzo mwisho ni mikwara tu.
Btw kuna majukwaa huwa nakuwa realistic, nashusha nyanga halafu naondoka mojawapo ni JF Doctor, Tech na Siasa.
ahahhahahhahhaha mi kule huwa siongozani na mtu!mi mwenywe huwa naenda nikiwa nimefumba macho ili nisione ninakoelekea!sembuse kwenda na mtu!
ahahhahhaha!AKHU!
Kumekuwa na maneno mitaani kuwa wachaga si wazuri kwenye 6x6 na sijawahi kupata ukweli wa tetesi hizi?
Ni kweli wachaga hawajui mapenzi?
Naomba jibu
hahaaa sometimes inabidi kujisifia mwenyewe ukisubiri kusifiwa inaweza kula kwako......
kiuno kama cha nyigu ndo type yangu!!!!!
We Mama mia acha masihara!mimi mwenyewe nilikuwa nasikia hizo habari,ila nilipokuja kupata mpenzi wa kichaga hiyo dhana nimeifuta kabisa,watu wanapata mambomakali mpaka wanapiga vigelegele.jamani hiyo dhana haina ukweli.
Yaani umeona eenh...ila all in all hakuna waliozaliwa wanayajua haya mautundu
Makabila mengine yapo juu kuliko mengine kwa kuwa tu wanazao taratibu za kufundana na kuweka wanawali ndani...
Makabila kama Wayao, Wamakonde, Wazaramo, Wadengereko na yote ya ukanda wa Pwani wamekuwa na tamaduni hizi miaka nenda miaka rudi...
Wachagga wamekuwa wakisemwa sana kwa kuwa mfumo wao wa kuendesha maisha upo tofauti kidogo na makabila mengine...
Mwanamke ni mhangaikaji na mtafutaji kama ilivyo kwa mwanaume....
Watu wangu wa nguvu Nivea, Mamndenyi, Smile na neggirl asanteni sana kwa kututetea sisi Wachagga na kueleza umma wa JF ukweli.
Mungu awabariki!!!
best kwa sentinsi hii naanza kuhisi na wewe ni wale uliosema mahala kuwa " chumbani ni wavivu kama matembele".
Na logg off.