Ridhiwani: Mie La-Kairo sikujui, huwa nakuona kwa nje wakati nikiwa napita.
Swali la JF: Kwani unadhani Baba yako alivyo mtanashati, Bishoo anaweza kukaa hoteli kama hiyo?
Ridhiwan: Nashangaa kwanza hakuna ukumbi wa kutosha watu 30, na hoteli yenyewe hiyo baba siyo type yake washikaji.
Swali JF: Ulisema hukujui sasa umewezaje kujua kama hakuna ukumbi wa kutosha watu 30?.
Ridhiwan: Mie huwa naiona tu kwa nje nikiwa naingia Mwanza kutoka dar wakati nikitoka Air Port.
Swali JF: Hoteli hiyo iko mtaa wa Kirumba na kama ni kutoka Air Port huwa unapita barabara tofauti, je unadhani uliwahi kupotea njia siku moja wakati ukitoka Air Port na kujikuta umefika hapo?
Ridhiwan: Utanitibuliwa na wewe na miswali yako, kwa leo nilipanga kuongea hayo asanteni sana nafunga mdomo.:tape::tape::tape::tape: