Elections 2010 Ati Ridhiwani hajawahi kufika Lakairo?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,781
78,451
Jamani mtu mwenye evidnce ya hili naomba atoe ushaidi kuwa huyu mtu ashawshi fika Lakairo! maana press statement yake inaonekana anadanganya!
 
huyo dogo waandishi wanampa promo, awe amefika, hajafika he is insignificant other
 
Kaka unajua siasa? hivyo we elewa hivyo maana unaweza kuthibitisha mara mia, wakati wa kumtafutia wadhamini baba yake alilala pale. Lakini wanasiasa ni waongo tu.
 
Kweli nchi ikiongozwa na familia ni tabu tupu.Dogo mwenyewe si chochote si lolote ni kinga ya baba yake JK tuu ama sivyo wala asinge katiza mtaani.Sasa ngoja tumfanyie kazi hawe kutuona mabwege mtoto mdogo kama huyo asiye na maadili ya kuwaheshimu wazee.
 
anasema hapo lakiro anapaona kwa mbali, lakini anasema hapo rais angewekwa wapi maana hakuna nafasi ya mtu kama rais kuingia hapo, contrdiction, anajuaje kama ni hajawahi kuingia hapo kuwa hapana nafasi, huyo ndo mwansheria kihiyo
 
Ridhiwani: Mie La-Kairo sikujui, huwa nakuona kwa nje wakati nikiwa napita.
Swali la JF: Kwani unadhani Baba yako alivyo mtanashati, Bishoo anaweza kukaa hoteli kama hiyo?
Ridhiwan: Nashangaa kwanza hakuna ukumbi wa kutosha watu 30, na hoteli yenyewe hiyo baba siyo type yake washikaji.
Swali JF: Ulisema hukujui sasa umewezaje kujua kama hakuna ukumbi wa kutosha watu 30?.
Ridhiwan: Mie huwa naiona tu kwa nje nikiwa naingia Mwanza kutoka dar wakati nikitoka Air Port.
Swali JF: Hoteli hiyo iko mtaa wa Kirumba na kama ni kutoka Air Port huwa unapita barabara tofauti, je unadhani uliwahi kupotea njia siku moja wakati ukitoka Air Port na kujikuta umefika hapo?
Ridhiwan: Utanitibuliwa na wewe na miswali yako, kwa leo nilipanga kuongea hayo asanteni sana nafunga mdomo.:tape::tape::tape::tape:
 


mwishowe atakuja sema hajawai fika bagamoyoooooooooooooooooo

 
amelala sana pale dogo huyo mbona kawa mwongo kama shetwani, hajui la kairo ?alipaona kwa mbali akitokea airport wapi na wapi?njia ya airport am not sure km unaipta lacairo, may be alikuwa na chopper, hahaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom