Atheists: "cure for bad religion is no religion"

msokowale

JF-Expert Member
Jun 28, 2018
522
500
Salaam zenu wakuu!

Prepared by Anonymous.

Jonathan Sacks, author of The Great Partnership: Science, Religion, and the Search for Meaning, feels the new atheists miss the target by believing the "cure for bad religion is no religion, as opposed to good religion". He wrote:

"Atheism deserves better than the new atheists whose methodology consists of criticizing religion without understanding it, quoting texts without contexts, taking exceptions as the rule, confusing folk belief with reflective theology, abusing, mocking, ridiculing, caricaturing, and demonizing religious faith and holding it responsible for the great crimes against humanity. Religion has done harm; I acknowledge that. But the cure for bad religion is good religion, not no religion, just as the cure for bad science is good science, not the abandonment of science."

cc: Kiranga
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
51,639
2,000

Nimeeleza zaidi ya mara moja hapa kwamba.

1. Mimi ni libertarian.
2.Naheshimu faragha ya dini.
3. Naheshimu haki ya kila mtu kujiamulia mambo yake.
4. Naheshimu uhuru wa kuabudu na kuamini, au kutoabudu na kutoamini.
5. Naheshimu katiba ya Tanzania, nchi niliyozaliwa.Katiba hii inatoa haki za kuabudu au kutoabudu.
6. Naheshimu katiba ya Marekani, nchi ninayoishi.Katiba hii inatoa haki za kuabudu au kutoabudu.
7. Naheshimu "Universal Declaration of Human Rights" kama lilivyotangazwa na Umoja wa Mataifa December 10 1948. Azimio hili lina vifungu vya kutetea uhuru wa mtu kuabudu au kutoabudu anavyotaka.
8. Naheshimu uhuru wangu wa kujieleza mtu akileta habari zake za dini JF, tunapoongozwa na "Where We Dare To Talk Openly" na hivyo kujivua faragha zake za dini.
9. Sitamuingilia mtu kanisani, nyumbani kwake au msikitini etc kumsumbua.Sitataka kumbadili mtu Imani yake.
10. Sitahubiri kuhusu ninachoamini au nisichoamini bila ya mjadala huo kuanzishwa na wengine.
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
8,567

Tatizo ni good religion na bad religion ni ipi?

Nani ana mamlaka ya kusema dini hii bora na hii sio bora?

Watu wa dini ni mapunguani!
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
8,567
2,000
Nimeeleza zaidi ya mara moja hapa kwamba.

1. Mimi ni libertarian.
2.Naheshimu faragha ya dini.
3. Naheshimu haki ya kila mtu kujiamulia mambo yake.
4. Naheshimu uhuru wa kuabudu na kuamini, au kutoabudu na kutoamini.
5. Naheshimu katiba ya Tanzania, nchi niliyozaliwa.Katiba hii inatoa haki za kuabudu au kutoabudu.
6. Naheshimu katiba ya Marekani, nchi ninayoishi.Katiba hii inatoa haki za kuabudu au kutoabudu.
7. Naheshimu "Universal Declaration of Human Rights" kama lilivyotangazwa na Umoja wa Mataifa December 10 1948. Azimio hili lina vifungu vya kutetea uhuru wa mtu kuabudu au kutoabudu anavyotaka.
8. Naheshimu uhuru wangu wa kujieleza mtu akileta habari zake za dini JF, tunapoongozwa na "Where We Dare To Talk Openly" na hivyo kujivua faragha zake za dini.
9. Sitamuingilia mtu kanisani, nyumbani kwake au msikitini etc kumsumbua.Sitataka kumbadili mtu Imani yake.
10. Sitahubiri kuhusu ninachoamini au nisichoamini bila ya mjadala huo kuanzishwa na wengine.
Your fellow libertarian here!
 
Top Bottom