Atheist wengi wao ni dini ya kikiristo

Atheist wengi wao ni dini ya kikiristo

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,070
Mara nyingi hawa wanaojiita atheist kwa maana wasio na dini wengi wao ni kutoka kwenye imani ya kikristo hauwezi kukuta hata siku moja abadani asilani atheist akawa ni muislamu ila halipo hata kidogo uislamu ni dini uliyonyooka isiyo na konakona kabisa
 
Naweza kusema ni kwasababu ya elimu inayotolewa upande huo na cha zaidi sana ni upendo unaohubiriwa humo.

Penye upendo pana maarifa, ila penye chuki hutawala ujinga kama sio upumbavu.

Mabadiliko/evolution katika viumbe yapo! Mabadiliko haya kama wasemavyo wataalamu tunaweza kusema mwislam akijitambua kiasi kidogo anarukia kwenye ukristo... Mkristo nae akijitambua kiasi anarukia kwenye kuhoji uhalali wa hizi dini pamoja na maisha kwa ujumla.

Ukivuka hizi ngazi zote unabaki kuwa mtazamaji huku ukiyashuhudia makosa yako katika maisha pamoja na dosari ndogondogo katika maisha ambazo zipo ndani ya uwezo wa mwanadamu ambapo zikirekebishwa maisha yanakua marahisi, matamu na yasiyo na majuto
 
Muislamu yupi anayejitambua halafu akaacha dini yake akaenda kwenye ukristo?
 
Huwezi elewa labda mjukuu wako ataelewa kwa kupitia mabadiliko ya muda mrefu.... Namaanisha ukijielewa kidogo utapanda ngazi kwenda ukristo, lakini ukijielewa ipasavyo atavuka ngazi kadhaa na kuwa mtu asiye na dini/mtazamaji aliye tayari kuupokea ukweli wakati wowote
 
Mara nyingi hawa wanaojiita atheist kwa maana wasio na dini wengi wao ni kutoka kwenye imani ya kikristo hauwezi kukuta hata siku moja abadani asilani atheist akawa ni muislamu ila halipo hata kidogo uislamu ni dini uliyonyooka isiyo na konakona kabisa
Vipi yule aliyetrend mtandaoni hadi masheiikh wakaanza kulaumu, ana jiina la kiislamu na kazaliwa katika dini ya kiislamu au utamkana naye kuwa anajifanya si kweli?
 
Huwezi elewa labda mjukuu wako ataelewa kwa kupitia mabadiliko ya muda mrefu.... Namaanisha ukijielewa kidogo utapanda ngazi kwenda ukristo, lakini ukijielewa ipasavyo atavuka ngazi kadhaa na kuwa mtu asiye na dini/mtazamaji aliye tayari kuupokea ukweli wakati wowote
Achana nae utapoteza muda haya mambo yanaanzia ubongoni nakumalizikia hukohuko!.
Hapa ni sawa na unafundisha panzi ajue kuruka kama mwewe!
 
Huwezi elewa labda mjukuu wako ataelewa kwa kupitia mabadiliko ya muda mrefu.... Namaanisha ukijielewa kidogo utapanda ngazi kwenda ukristo, lakini ukijielewa ipasavyo atavuka ngazi kadhaa na kuwa mtu asiye na dini/mtazamaji aliye tayari kuupokea ukweli wakati wowote
We nae ni fala aisee kwahiyo wewe na bakharesa nani amepanda ngazi? Maana yeye niuislamu na hajauacha uislamu wake! Mpuuzi wewe
 
Mara nyingi hawa wanaojiita atheist kwa maana wasio na dini wengi wao ni kutoka kwenye imani ya kikristo hauwezi kukuta hata siku moja abadani asilani atheist akawa ni muislamu ila halipo hata kidogo uislamu ni dini uliyonyooka isiyo na konakona kabisa
Atheist maana yake Nini?
Unajichanganya tuu.
 
Back
Top Bottom