Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

Kwa hiyo Mungu hatupangii tena maisha !?

Simnasemaga kuwa maisha yetu yamesha andikwa katika vitabu na tayari tumesha pangiwa jinsi tutakavyo ishi duniani

Nyinyi watu Mbona huwa hamueleweki !?
Kina kipangiwa na kushurutishwa na kukadiriwa. Allah aliyejuu amekadiria mambo yetu, na kuna makadirio mengine huwa katika sharti, kwamba ukifanya kadha itakuwa kadha.

Tunaeleweka ila wewe ndiyo huelewi.
 
Yaani Hoja zao zinamtoa Mungu ktk ukamilifu wakati maandiko Yao yanasema kwamba Ni mkamilifu ..Hawa watu bwana [emoji16]
 
Kujua sio kupanga. Mfano, unaweza kumuona mtoto ukasema "huyo atazima tv saivi" Akiizima TV manake wewe umepanga?
Kwa hiyo wewe unayemuona mtoto anaizima TV ujuzi wako ni sawa na wa Mungu?

Unalinganisha ujuzi wa mtu wenye mipaka na ujuzi wa Mungu mnaosema hauna mipaka?

Unalinganishq ujuzi wa mtu na Mungu mnayesema kaumba kila kitu?

Unaelewa kwamba kwa ulinganisho huu tu umeshamshusha huyo Mungu na kumfanya awe sawa na mtu?
 
Afu Mungu angekuwa anaoji kama mtu unataka kuja duniani au utaki maana ni mjuzi wa yote asingeshindwa kutuuliza.

tunataka kuja au atutaki sio tumeletwa kibabe afu tukikosea njiti uonezi uo.
 
Ujuzi wangu sio sawa na wa Mungu.

Wapi inasema kuwa ulinganisho huo ni kumshusha Mungu ikiwa unafahamisha tofauti ya Kujua na Kupanga?
 
Oyaaa sihuwa mnasema kwamba maisha yetu ya hapa duniani tumeshapangiwa kila kitu mpaka vifo vyetu ..!?
Wapi imesema kuwa maisha yetu yamepangiwa KILA KITU mpaka vifo vyetu? Kina nani hao wanasema ivo?
 
Oyaaa Mbona haueleweki Mungu mjuzi wa yote mwenye ukamilifu anashindwa vipi kujua kwamba huyu na yule Hawa Ni wa motoni na huyu na yule Ni wapeponi !?
Inaonekana hukusoma vizuri nilichokiandika. Wapi nimesema hapo kuwa anashindwa kujua kama wewe wa motoni au wa peponi? Au nimesema kuwa yeye hajakupangia kuwa utaingia peponi au motoni?
 
Unajichosha ndio kwanza tayari Mungu wako anajua kwamba wewe Ni mtu wa motoni au peponi Yaani Ni sawa sawa na wewe umpe mwanafunzi wako mtihani wakati unajua kabisa matokeo ya mtihani huo yatakuwaje Sasa hiyo ina maana gani !?
Yeye anajua kuwa wewe utaingia peponi au motoni. Wewe unajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…