Hujajibu maswali yangu.Twende kwa mjadala tuache ubabe wa kukosoa as if unanifahamu....
Ninekujibu kwa ufasaha hapo juu kuhusuJe Mungu ni roho ama siyo Roho?
Roho inaweza kuvaa umbo la kitu chochote?
Je Mungu amewahi kumtokea Musa akiwa katika umbo la moto?
Mshana tafadhali jibu hayo maswali matatu precisely!
Nitajibu chenye mantiki tuuHujajibu maswali yangu.
Kujibu maswali ni sehemu ya mjadala.
Nakufahamu kutokana na maandishi yako.
Maandishi yako yana ujinga.
Ujinga unatakiwa kuondolewa.
Ujinga kwamba atheists wote hawaamini Mungu kwa sababu haonekani.
Unafahamu kwamba kufikiri hivyo ni ujinga?
Umeuliza kwa mbwembwe nikafikiri unakuja na hoja ya msingi.Sasa kama hujawahi kumwona Mungu wala kumsikia akiongea, ulizijuwaje sifa zake?
Unafahamu kwamba si atheist wote hawaamini Mungu yupo kwa sababu haonekani?Nitajibu chenye mantiki tuu
Hii ndio technic yako ya kutaka kupotosha mada...mtazamo wako kuhusu mimi hauzuii uhalisia na ukweli wa kile nilichoandika kwakuwa najua nimeandika nini
Ukiona ni ujinga ni mtazamo wako ambao sihusiki nao
Sasa kwa nini umeandika ujinga na uongo tofauti kwenye post yako ya kwanza?Ndio naamini hivyo
Onyesha huo ujinga na uongo hapa tafadhali hata kwa kuhigh light
Sijapotosha popote..thibitisha
Jaribu kumuuliza atheist yeyote kwanini huamini katika Mungu atakwambia kwakuwa hajawahi kumuona! Ila muulize kama alishawahi kuiona akili yake au roho yake...hatakupa jibu moja na la moja kwa moja
Kuna mtu alisema KUTOKUAMINI nayo ni imani!
Angalia mtiririko wa post angalia baada ya hapo niliandika nini...kama ningeishia hapo ungekuwa sahihi kabisa lakini bahati mbaya hukutaka kuendeleaUmeandika
Bado hujaona ujinga na uongo wako?
Kwanza ulikuwa unafuatilia ni nini katika hayo ya dini? maana kwenye dini kuna mambo mengi.ALBADIR ndiyo ilinifanya nianze kuchunguza mambo ya dini, maana ilikua inanipa ukakasi kidogo... iweje MUNGU huyu huyu mwenye upendo kwa watu wake,aweze kuwadhuru vibaya waliokuwemo na mpaka wasiokuwepo kwasababu tuu kuna mtu aliibiwa mbuzi zake huku wengine walikula nyama yake kwenye sherehe bila kutambua?
Basi nilifuatilia mpaka mwisho wake na kupata jibu lililonyooka!
Biblia ni kitabu kilicho unganisha fasihi mbali mbali zilizo andikwa kwa ajili ya kuwaongoza wakristoBiblia ni Neno la nani?.
Unaelewa nilichoandika?Angalia mtiririko wa post angalia baada ya hapo niliandika nini...kama ningeishia hapo ungekuwa sahihi kabisa lakini bahati mbaya hukutaka kuendelea
Kiranga atheist anayeamini katika Mungu huyo atakuwa hajui ninini mana ya atheism! Je unataka kupotosha nini hapa?
Kwahiyo Imani, dini na Mungu ni matokeo ya Consciousness za watu?Ninekujibu kwa ufasaha hapo juu kuhusu
Conscious mind
Conscious soul
Conscious energy
Kwahiyo hivyo vyote vitatu vyote ni invisible na roho inaweza kuvaa umbo lolote lile