Hebu jiulize kwanini atheist wanatumia nguvu nyingi sana kupinga Mungu hayupo? Wanaandika vitabu, documentaries, interviews, kupinga tu uwepo wa Mungu.
Nani amewatuma while hakuna mtu anaelazimisha mtu imani. Hata Mungu mwenyewe, kwa uwezo alio nao akitaka anaweza kujionyesha kwamba yupo. Lakini ameamua watu watake kumfuata kwa imani.
Life is full of choices, ni kuamua tu, na Mungu ameruhusu hivo, uamue mwenyewe. Ndio maana hata watu wanaofanya mambo mabaya duniani wanaishi kwa raha na pengine matajiri kuliko wanaofuata dini
Lakini kitakachompata mtu, kwenye maisha haya, na hata ya baada ya kifo, yupo accountable mwenyewe. Ukiwa mwizi kitakachokupata siku ukikamatwa utajibu mwenyewe.
Ila tu, Mungu ameweka standards za mtu anaetaka kumfuata, ndio maana kuna Bible, Holy Spirit anaetuongoza kwa Mungu, Quran nk.
Ukiamua kumfuata Mungu, there is alot of resources ambazo sipo miaka na miaka. And He has open hands waiting for us. Ni choice yako tuu.
Umenikumbusha mbali nami ilibaki miez kadhaa niwe p.d.r
Mlifufeemserowee
Ila Atheists wengi humu inaonekana wametokea kwenye imani moja sijui kwanini.Wow, seriously? Halafu unakuta mtu anakuona kama hujui au mbishi na huelewi kumbe umepita level nyingi na unafahamu na experience nyingi juu ya kitu unachokizungumzia.
Kwanini ulibadilisha mtazamo?
Ila Atheists wengi humu inaonekana wametokea kwenye imani moja sijui kwanini.
Unaweza kuthibitisha? Kama huwezi kwa nini lisiwe jibu?wewe kuniambia Mimi kuwa siwezi kuthibitisha ndiyo jibu la swali nililokuuliza?
Watu wanaosoma dini kwa undani wengi wanagundua kwamba ni uongo.Wow, seriously? Halafu unakuta mtu anakuona kama hujui au mbishi na huelewi kumbe umepita level nyingi na unafahamu na experience nyingi juu ya kitu unachokizungumzia.
Kwanini ulibadilisha mtazamo?
Amini Mungu yupo uenda umkose kuliko kuamini hayupo uende umkute, itakuwa ni kilio na kusaga meno!
Ila Mungu yupo ktk nafsi 3 za; Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Mwanzo umeniambia siwezi kuthibitisha,sasa hivi unaniuliza kama naweza kuthibitisha?Unaweza kuthibitisha? Kama huwezi kwa nini lisiwe jibu?
Ni katika kuthibitisha zaidi kwamba huwezi kuthibitisha.Mwanzo umeniambia siwezi kuthibitisha,sasa hivi unaniuliza kama naweza kuthibitisha?
Sasa kusoma dini moja kwa undani na kuibuka na madai ya kusema hakuna mungu we unaona ni sahihi?Watu wanaosoma dini kwa undani wengi wanagundua kwamba ni uongo.
Hata wanaoamua kubaki kwenye Imani wanabaki humo si kwa sababu wanaamini Mungu yupo, wanabaki kwenye Imani kwa sababu wanaamini Imani ina uwezo mkubwa na mzuri wa kuwafanya watu waishi kwa order.
Watu wengi wakijua ukweli kwamba Mungu hayupo watashindwa kuishi maisha ya order.
Hilo ndilo linafanya wengi waliosoma dini/ theology wabaki kwenye Imani.
Si ajabu Papa akawa haamini Mungu yupo, ila anaamini kwamba kuna umuhimu wa kusema yupo.
Si suala la kunipa Mimi nafasi,ni suala la wewe kuthibitisha kuwa mimi na assume kuwa mungu yupo.Ni katika kuthibitisha zaidi kwamba huwezi kuthibitisha.
Unaendelea kupewa nafasi uthibitishe. Hili linaonesha sikunyimi nafasi ya kuthibitisha.
Kwa sababu najua huwezi kuthibitisha.
Theology ni dini moja?Sasa kusoma dini moja kwa undani na kuibuka na madai ya kusema hakuna mungu we unaona ni sahihi?
Maana humu wapo waliyosoma sana dini na hata wasiosoma sana dini lakini tatizo wengi ni imani moja.
Hujathibitisha, ume assume. Simple as that.Si suala la kunipa Mimi nafasi,ni suala la wewe kuthibitisha kuwa mimi na assume kuwa mungu yupo.
kubwa ya ukristo, wamesilimu na yeyote aliyesilimu anakuwa na msimamo mkali sana sijui ni kwa nini