Athari za ukatili zinavyowatesa walimu

Nimeamini wewe ni mwalimu. Kuna watoto wana roho mbaya kuliko za al shabab.
 
Sisi walimu bhana serikali imetudharau sana lakini huduma yetu mnainunua private schools kwa pesa mingi na mmetulia wala hamfurukuti.

Hili ndio tatizo sugu, Walimu wanadharauliwa sana na Mamlaka. Mamlaka inawatumia walimu katika maslahi yao(mfano usimamizi wa uchaguzi) baada ya hapo wanasahaulika.

Wapo walimu wanaoipenda kazi yao kutoka moyoni na wengine wanaifanya tu ili wapate chochote cha kujikimu.

Endapo wangesaminiwa wangeipenda kazi yao na kufanya kazi kwa bidii, jambo ambalo lisingehangaisha wazazi wengi kupeleka watoto kwenye shule za private.

Kutokana na kudharaulika na mamlaka na maslahi mabovu, mwalimu anaamua kutumia muda mwingi kufanya mishemishe zake ukilinganisha na muda anaoutumia kufundisha ili ajazie kwenye mshahara wake na maisha yaendelee kusonga mbele.
 
Nyie mnapiga domo hapa Huku Ujerumani Mwalimu ndio kada inayolipwa Vizuri ya kwanza kabisa infact Mwalimu ni cheo na Kazi kubwa ya Maana hapa Ujerumani.
 
Sijui wewe kama kweli ulielimika vizuri
 
Hujafanya utafiti wewe,walimu sada hivi mambo yao safi,wana nyumba nzuri,wana magari ,watoto wao wamesoma .Walimu wanalipwa mshahara na wana shughuli zao nje ya ualimu.Acheni kukariri.
 
Nyie mnapiga domo hapa Huku Ujerumani Mwalimu ndio kada inayolipwa Vizuri ya kwanza kabisa infact Mwalimu ni cheo na Kazi kubwa ya Maana hapa Ujerumani.
Hawa Wa huku kwetu wameridhika na maisha yao,kwa sababu kipindi cha uchaguzi huwa ni wasimamizi so wanapata allowance.

Pia chama chao CWT hakina meno kuwatetea kimewekwa mfukoni kama Bakwata.

CWT kimekuwa chama cha kuweka na kukopa.
 
Hujafanya utafiti wewe,walimu sada hivi mambo yao safi,wana nyumba nzuri,wana magari ,watoto wao wamesoma .Walimu wanalipwa mshahara na wana shughuli zao nje ya ualimu.Acheni kukariri.
Mkuu unaongelea walimu ama Traffic police.

Unazungumzia walimu Wa mjini labda.au unaongelea wakistaafu wanapata mafao majority ndo wanaanza maisha.
 
Hapa kilichopo wanaoandika Ni watoto wadogo ambao ama bado wako shule au ndo Kwanza wakemaliza bado hawajayajua maisha na bado wana hasira.Walimu wa Sasa hivi wanakula bata,Kama maisha kuwa magumu Ni kwa waajiriwa wote hasa wa serikali.Ukisema walimu tu ,umechemka.Walimu ndi ngao yetu na wametufundisha vitu vingi ,Kama Kuna waonevu Ni wachache Sana.
 
Hiv wewe unavyosema walimu wako duni umefanya utafiti? Na je huo utafiti wako umefanya idadi ya watu wangap?

Na kama ni kweli walimu wako duni , umegundua ni sababu gani zimesababisha kuwa duni?

Na je mtu Duni ni yup?(sofa za mtu Duni)

Ninavyojua Mimi mara nyingi mtu mwenye roho mbaya kiuchumi anakuwa na maisha mazuri(japo sio sababu ya kisayansi)

Wewe unatakiwa kumshukuru Sana mwalimu wako alikokutoa, vinginevyo hata hapa JF usingekuwa

Kwa taharifa yako walimu WA sasa sio kama wa Zamani, wanamaendeleo vizuri Tu na wanapapana na kilimo na ufugaji wa kuku( wanatumia fulsa kulingana na mazingira?
 
Mkuu unaongelea walimu ama Traffic police.

Unazungumzia walimu Wa mjini labda.au unaongelea wakistaafu wanapata mafao majority ndo wanaanza maisha.
Naongelea walimu na ninawajua sijahadithiwa.Walimu wana kila kitu na wako huru muda hauwabani.Kwa mtu mzembe Ni kweli ana maisha magumu lakini kwa mwenye bidii,wanamiliki hadi shule.Gift schools Ni za mwalimu,st anne Maria alikuwa mwalimu,st Mathews alikuwa mwalimu etc,etc ,etc
 
Yanayowakuta walimu waliyataka wenyewe miaka yote wanatumika kwenye wizi wa kula wakiambulia sh,200,000\ na kupindua matokeo wanaamini kwa ccm kuliko chama kingine Tanzania,Mwalimu anamwibia ata Mume wake kama ni mgombea anaona 200,000\ kuliko mme wake kuwa mbunge kupitia upinzani.Sina huruma nao acha wavune mapando yao.
 
Ugumu wa maisha Kwa sasa ni Kada zote , acheni kuwasema walimu Bana, roho mbaya ya mwalimu ndio inayomtengenezea maisha mtoto wako

Tukumbuke kipindi cha Corona shule vilivyo fungwa, kila mzazi alikuwa anatamani shule zifunguliwe mtoto aende shule

Hii inatuonyesha shule ni sehemu salama
 
Mkuu w unaongelea mwalimu mmojammoja waliobahatisha maisha.

Ila in general walimu sio wajanja kihivyo,Bi mkubwa alikuwa teacher so najua mateso yao.

Au kubeba mandazi na barafu kwenda kuuzia watoto ujanja.
 
Mimi ni Ticha na kesho watakaochelewa nawatindua fimbo za kutosha. Na hayo maisha magumu mnayosema mbona Mimi Sina?
Ukiona mwalimu anakimbilia kuchapa wanafunzi ujue kichwani mweupe hajui chochote.Ukali ndo kama defense yake.

Halafu walimu wakati mwingine wanabananishwa na wanafunzi wanakula kipigo mtaani hadi wanatia huruma.
 
Mkuu w unaongelea mwalimu mmojammoja waliobahatisha maisha.

Ila in general walimu sio wajanja kihivyo,Bi mkubwa alikuwa teacher so najua mateso yao.

Au kubeba mandazi na barafu kwenda kuuzia watoto ujanja.
Hata katika fani zingine siyo wote wenye maisha mazuri.Madaktari ,wanajeshi ,manesi nk kibao wana maisha ya taabu.Kuna nesi mstaafu kakaa kwenye kibanda changu Mbagala mwaka mzima bila kulipa hata mia ,nilimtoa kwa nguvu ya serikali.Hata hivyo bado nasisitiza ,ajira ni utumwa.
 
Akili za kutawaliwa na wakoloni bado zipo kichwani mwako.Uliona wapi ufaulu umeongezeka kwa kuchapa wanafunzi?

Walimu wanachapa watoto ili kupunguza stress za maisha magumu lakini wanapowaumiza huishia matatani huku serikali ikiwapa kisogo.
 
Bwa shehe mbona Kama umenishambulia na misimamo yetu ni sawa!
 
Kule kinachonunuliwa ni Kiingereza tu sio elimu mkuu.Ingekuwa ni elimu hata shule za kata ipo japo ni duni na unakuta mwalimu ni mtu mwenye alama za chini za ufaulu ndo anakuwa mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…