Athari za mvua Lushoto

mkuu hayo n maeneo gani, mana lam asaiv imefika mpk magamba cost karibu na SECOMU,
 
mkuu hayo n maeneo gani, mana lam asaiv imefika mpk magamba cost karibu na SECOMU,
Kona ya Dochi na kuna picha nyingine ni ile kona kali ukikaribia Soni
 
Hii barabara waliitengeneza wakati fulani toka Mombo mpaka Soni kuanzia Soni kwenda Lushoto ilikuwa nzuri kiasi chake. Lushoto kuzuri sana barabara tu ndio shida.


Halafu huko wanaipenda ccm kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…