Athari za mpango wa kando? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Athari za mpango wa kando?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Jan 29, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Mpango wa kando nchini Kenya wanauita....................uhawara...

  faida zake ni zile zile za ugoni na hasara zake zinafuata mkondo huo huo.........................

  faida.................ukajisikia umependwa...........au kupendeka..................

  hasara......................kubebeshwa majukumu ambayo pengine usingelipenda kuyabeba ila walazimika kumridhisha hawara yako..............................

  nyinginezo.........tusaidiane hapo.......................
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Quite pathetic!!:A S thumbs_down:
   
 3. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mpango wa kando UNAUMA UKIVIVIA.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mi ni odinare wanataka mpango wa kando eti ni wadare
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kitu kisichokubalika mbele ya Mungu na wanadamu walio wengi na kinachofanywa kwa siri kina madhara sana kisaikolojia.......
  unaishi kwa hofu mbele ya wanadamu na hata Mungu,unaishi ukijua wewe unamyima mtu kuwa na furaha na mumewe na pengine na watoto wake,hujiamini unahisi tu unaonekana mbaya na wanawake wengi though waweza onekana strong they are guilty........

  madhara ya muda mrefu yaweza kuwa magonjwa kama ya presha na moyo,manake hiyo hofu ni ngumu ku-contain........:coffee:

  ukimwi pia,unajua mwanamke aliyekubali kuwa hawara anajua fika wewe una mke, wengi si watulivu 100%,anajua fika ipo siku unaweza kula kona ukarudi kutulia kwa mkeo so wewe unakuwa kwenye list na wengine,mwisho wa siku......yanaweza kukuta hayo.......:coffee:

  nitarudi,si kitu kizuri,kama chaweza epukwa,ni vizuri zaidi.
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Dawa ni kuacha mpango wa kando
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mpango wa kando si mpango.
  Ikifika ile siku ya 39 kuelekea 40. Ni balaa.
   
Loading...