Hi jf members! mimi ni mwanafunz wa chuo na mara zote nimekuwa nikitumia laptop kusomea at least masaa sita kwa siku.je kuna madhara gan?
vifaa vyote vinavyotumia umeme ikiwemo computer vinatoa negative electromagnetic waves ambazo ni hatari kwa afya yako. Ukikaa sana kwenye computer utakuta usiku hulali vizuri. Una lala usingizi wa mang'amu ng'amu. Unachoka unazeeka haraka. Heshima nyumbani inapungua kama uko katika ndoa. Jibu vaa chi pendant kama mimi kutoka qnet. Maendeleo yameleta matatizo!
Unique