Athari za kutolala kwa wakati

Athari za kutolala kwa wakati

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Usingizi ni moja kati ya starehe kubwa duniani ila piA ni kinga dhidi ya magonjwa.imefahamika kuwa watu wengi duniani hawa lali kwa wakati kutokana na mihangaiko ya kimaisha kwa kawaida binadamu anatakuwa alale masaa 8-9.
hizi ndizo athari za kuto lala kwa wakati;
-shinikizo la moyo.
-ugonjwa wa kisukari.
-hasira za mara kwa mara.
-kuwa na uwezo mdogo wa kufikiria.
-upungufu wa nguvu za kiume.

JIULIZE WEWE UNA LALA MASAA MANGAPI?

Kwa hisani ya BBC swahili.
 
Usingizi ni moja kati ya starehe kubwa duniani ila piA ni kinga dhidi ya magonjwa.imefahamika kuwa watu wengi duniani hawa lali kwa wakati kutokana na mihangaiko ya kimaisha kwa kawaida binadamu anatakuwa alale masaa 8-9.
hizi ndizo athari za kuto lala kwa wakati;
-shinikizo la moyo.
-ugonjwa wa kisukari.
-hasira za mara kwa mara.
-kuwa na uwezo mdogo wa kufikiria.
-upungufu wa nguvu za kiume.

JIULIZE WEWE UNA LALA MASAA MANGAPI?

Kwa hisani ya BBC swahili.
hivi kwanini hapo red hapakosagi wadau...kila impact inayotokea hapo kama kawa lazima pahusike!!! mbombo ngafu!!
 
Sijawahi kulala masaa 7 hadi 9 kwa muda mrefu sana. Nalala 5 hadi 6 siku nyingine hata masaa manne tu. Kazi ipo.
 
Thanks- quick reaction: do you have any evidence? I mean scientific research to prove your hypothesesis.....otherwise big ''No''
 
Kadiri tunavyokua kiumri ndiyo hamu ya kulala masaa mengi inapungua. Lakini pia tunatofautiana sana sababu kuna watu masaa 5/6 yanatosha kabisa kuwa fresh yaani usingizi unakata kabisa. Mi nafikiri tatizo ni hiyo hofu ya kuto lala vizuri.
 
Wakuu sio siri,kutokana mihangaiko yangu sijawahi kulala zaidi ya masaa matano..na kama hali ndo hiyo naombeni ushauri wenu nifanyeje maana nikilala zaidi ya hapo watoto watalala njaa! Usiku mwema wadau..
 
Kesho saa 11 alfajiri niko barabarani kwenda sokoni kuuza samaki na mpaka ss hv saa 8 usiku sijalala..
 
Niliwahi kipanda bed saa mbili unusu, nimeamka saa tano dk 20 hivi, hii ndio imetoka hakuna kulala wala usingizi!
 
Kesho saa 11 alfajiri niko barabarani kwenda sokoni kuuza samaki na mpaka ss hv saa 8 usiku sijalala..

MPAKA SAA HIZI SINA USINGIZI! NA KESHO ASUBUHI NA MAPEMA NATAKIWA JOB. Ntawapa majibu ya utafitinwangu. Na jioni nina bonge la mechi na mrembo.
 
Hii inanihusu maana kwanza nililala saa tano na nusu, na sasa ndio naamka niende nikatafute ridhiki. Kwakua sina jinsi ya kulikwepa hili la kutokulala masaa kama ulivyo ahinisha, basi ngoja nisubirie moja kati ya hayo tajwa.
 
Kuishi tu Tanzania unakuwa umeshakuwa very close na death, malaria, typhoids, ajali, ukimwi, dengue yani ishu ya usingizi is very insignificant
 
Back
Top Bottom