Nipo tofauti sana na wewe mkuu, binafsi nilimpenda mwanamke mmoja, nikatamani sana nimuoe, mwanzo tulikuwa poa, baadae akavurugigika, simply nilijua nilichookihitaji sikukata tamaa, niliishi kwenye ndoto zangu za kuwa na naye, things were no easy, tulipitia mengi sana tena sana na ya kushangaza, later we are now in love, soon tunaooana, so if u love something dont be disapointed at all, stick on what u dream, matatizo kukutokea mwanzoni ni kawaida sana, unapokula mnofu jua mbele kuna mfupa, na unapoanza mfupa jua mbele kuna stake,