Hilo ndilo jibu ni utoto kwenda ujana
sisi tumeshaoa tuna majukumu ya kulea watoto mtaapofika hapo mtaona watoto wanawaunganisha na hakuna mateso hayo
kwani stress za watoto tu zatosha
vyote hivyo vinakusubiri huwezi anzisha mapenzi ya kutesana hadi kujipiga risasi km hao wachagga ambao wanaacha kutafuta hela mapenza yatakuja tu
- ada ya chekechea
- malipo ya matibabu
- chakula tofauti cha watoto
- mavazi
- Klinik, uumini wa DINI, malezi kibao
Hi hi hii...jaman leo mbona nakutana na thred za kutendwa tu Mmmh inaniuma mpaka baasi! kidonda changu chenyewe kibichi Ooh my God...im dying nilizama mzima mzima na viatu kwa mtu mpumbavu kisha shukran ikawa teke!.Ndio sijakata tamaa napanga kumtafutia WAKORA WAMPIGE HADI ALIE ZAIDI YA NLIVYOLIA MIMI AJUE NA MIMI NINA MOYO NA NINAUMIA.AJUTE KUZALIWA!!!
ww km ni Mchagga Kiwelu mapenzi yatakubabaishajeKumbuka huwezi jua kama angekuja kukutesa ...
Wengi sana wameanza safari ya mapenzi pamoja, ila mwisho wa siku wameishia katikati ya bahari..
Hi hi hii...jaman leo mbona nakutana na thred za kutendwa tu Mmmh inaniuma mpaka baasi! kidonda changu chenyewe kibichi Ooh my God...im dying nilizama mzima mzima na viatu kwa mtu mpumbavu kisha shukran ikawa teke!.Ndio sijakata tamaa napanga kumtafutia WAKORA WAMPIGE HADI ALIE ZAIDI YA NLIVYOLIA MIMI AJUE NA MIMI NINA MOYO NA NINAUMIA.AJUTE KUZALIWA!!!
wala haina haja kumtafutia wakora..kuna lesson kubwa kakuachia..usipoijua leo itakufaa ksho..tuliza akili yako una mengi ya kufanya...maisha mafupi haya kubba vinyongo vya watu..lastly..jifunze kusamehe COUNT YOUR BLESSINGS INSTEAD OF YOUR CURSE..THANKS
Kuna uwezekano kabisa mpumbavu alikuwa wewe uliyezama mzima mzima, hukuwa na vigezo vya kuwa nae then akakuacha, hadi Leo hujagundua kuwa wewe ndio uliyekuwa mpumbavu....banghead
Thanx alot for your advice.Ushauri wako ntaufanyia kazi.Stay blessed!
Excuse me?!!! ulikwepo wakati vigezo vilipelea?? Upambavu halisi ni huo wakumtetea mpumbavu mwenzako kwa yasiyokuhusu! idiot
Penda unapopendwa, usipopendwa stress zinatosha.Ni ukweli kuwa wanaume tulio wengi tumekuwa ving'ang'anizi kwenye suala la mapenzi. Kwa kulazimisha huko kumepelekea baadhi ya wanaume kuingia kwenye mlango wa kifo, kukata tamaa, kujishusha thamani n.k.
Kulazimisha penzi kumekuwa na athari kubwa za moja kwa moja kuliko faida tulizozitarajia hapo awali.Mwanamke ni kiumbe dhaifu pale tu unapomtongoz na kukukatalia zaidi ya mara 4 na ya 5 akakukubalia lazima utambue huo uamuzi wake ni wa kujilazimisha na si wa hiari yake.
Wote tunajua mwanamke mwerevu hawezi kumkubali mwanaume kirahisi, ila kuna kule kuona wazi anasisitiza kitu kuwa hakutaki na pia hakupendi.Mwanamke wa kulazimisha badala ya kukuita honey, baby, mpenzi yeye atakomaa na jina lako halisi na ukihoji atakwambia si lazima "nikuite bby" kwani we mtoto.
Kwa misingi hiyo mwanaume unategemea nini hapo zaidi ya kuingia kwenye ulingo wa penzi la mateso.Huyo mwanamke naye jua akipata ampendaye hatokwambia ila ukweli ukiujua utakuwa ndiyo mwisho wa penzi lako na kuanza kuishi maisha ya kuteswa na mapenzi na wivu usio na mipaka.
Kama ni mwanafunzi haijalishi ulikuwa kichwa hapo kuanguka kitaaluma ni muhimu.kama ni mwajiriwa basi ajira yako itakuwa shakani kwa kuwaza mateso ya penzi kuliko kazi mwisho nikuachishwa kazi.Kama ndo Mfanyabiashara huo ndo wakati wa kujuta kwani mapenzi ya pesa yanatumia hadi mtaji kwani utakapokumbuka muda utakuwa umepita na huna namna tena.
Mwisho wa mapenzi ya kulazimisha ni :-
#Kujinyonga . (hehe)
#Kuua bila ridhaa yako.
#Kuwa kichaa wa penzi la mateso (gogo)
#kufilisika kimtaji na kimawazo
kujipiga risasa (Chagga
Onyo mapenzi ni ushawishi na si kulazimishana.
ww km ni Mchagga Kiwelu mapenzi yatakubabaishaje
wenzako wote wake wanawaacha mgombani sasa mjini unapewa mapenzi ya papuchi gani mpaka akutese na kujinyonga
nachozungumzia hapa ni Watoto ndio urithi wako watafutie Elimu km mali ni zao baadaye achana na wivu wa kitoto UKUE SASA
Hi hi hii...jaman leo mbona nakutana na thred za kutendwa tu Mmmh inaniuma mpaka baasi! kidonda changu chenyewe kibichi Ooh my God...im dying nilizama mzima mzima na viatu kwa mtu mpumbavu kisha shukran ikawa teke!.Ndio sijakata tamaa napanga kumtafutia WAKORA WAMPIGE HADI ALIE ZAIDI YA NLIVYOLIA MIMI AJUE NA MIMI NINA MOYO NA NINAUMIA.AJUTE KUZALIWA!!!
Kumpiga???Hi hi hii...jaman leo mbona nakutana na thred za kutendwa tu Mmmh inaniuma mpaka baasi! kidonda changu chenyewe kibichi Ooh my God...im dying nilizama mzima mzima na viatu kwa mtu mpumbavu kisha shukran ikawa teke!.Ndio sijakata tamaa napanga kumtafutia WAKORA WAMPIGE HADI ALIE ZAIDI YA NLIVYOLIA MIMI AJUE NA MIMI NINA MOYO NA NINAUMIA.AJUTE KUZALIWA!!!