Habari za asubuhi wakuu. jamani mi ninapokaa ni uswahilini,sasa dirisha langu lipo karibu na chemba.yaani usiku ndo linapumua harufu usiku kucha na hapa siwezi hama kwasasa.sasa nauliza, je kuna madhara kiafya yanayotokana na kuvuta hewa chafu daily? sina amani wapendwa yaani kama usiku wa kuamkia Leo yaani utazani nimelala toilet.
Asanteni kwa ushauri na matusi sio mahali pake.nawatakia siku njema.
Asanteni kwa ushauri na matusi sio mahali pake.nawatakia siku njema.