By Ngaliba Dume
Katika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake hivi leo Asubuhi. Habari nilizozipata kwa jamaa yangu aliyekuwa asafili na ndege hiyo leo asubuhi ni kuwa abiria wote wa ATCL waliokata ticket kwenda Mwanza "wamefaulishwa" ktk ndege ya 540.Com aina ya CRJ.
Kwa habari ya chini ya kapeti ni kuwa ATCL imeshindwa kulipa malipo ya kukodi kwa kampuni ya AEROVISTA ilipoikodi Ndege hiyo,kampuni husika imeizuia ndege yake kuruka mpaka hapo itakapolipwa malimbikizo ya madeni yote na ATCL. Hii inatokea siku moja baada ya Wizara ya Uchukuzi kuwasilisha Bajeti yake ktk Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
escobar
umeniacha hoi siku naona alinitumia msg kaka mmoja kuniuliza hivi lazima nioe na mimi kaka??
Nikiangalia na hapo juu nasubiri mwongoozo wa kujibu kuptia kifungu cha jf no25 kipengele z/j
Wakuu,
habari hii inatisha maana kuna taarifa za kiintelejensia kuwa kampuni kubwa ya EASYJET ya Uingereza ina mpango wa kuhodhi anga za nchi za ki-Afrika ikiwemo Tanzania kwa kutoza nauli nafuu kupitia Fly540.com.
Tusome mikakati ya EASYJET ktk kujiingiza anga za Afrika kupitia Fly540.com:
The ownership of regional low-cost carrier Fly540 has changed hands, after
Lonrho PLC, the parent company of the airline, transferred its aviation business to a partnership between a low cost European air operator and an investment firm.
EasyGroup would own five per cent of Rubicon.
Fly540 will now be rebranded to ‘FastJet' under a brand licensing agreement with Sir Stelios, who will become the chief operations officer of the new airline.
Fastjet will seek to grow by relying on Fly540's current hubs of Kenya, Ghana and Angola, a plan that could renew competition with regional giant Kenya Airways which plans to launch its own budget carrier by the end of the year.
Kenya Airways (KQ) through it's a low-cost subsidiary, Jambo Jet, will be seeking to make headway in the fast-growing domestic and regional flying markets, where smaller airlines mostly operating as a low-cost carrier have posed a serious challenge.
In a statement to the London Stock Exchange (LSE) where Africa-focused conglomerate Lonrho is listed, the company said it would sell the subsidiary to Rubicon Diversified Investments Plc and EasyGroup in a reverse takeover deal worth $85.7million.
Rubicon joined forces with
Easy Group, owned by
easyjet founder Stelios Haji-Ioannou, to acquire Fly540--Lonrho's aviation business--in a significant step towards the formation of a pan-African low cost carrier.
The transaction is however subject to easyjet's shareholders approval in an annual general meeting scheduled for June 29, 2012.
Under the terms of the agreement, Lonrho will acquire 1.1 billion Rubicon's ordinary shares which added to the current 9,500,000 ordinary shares it already owns, gives it a 73 per cent stake in the LSE-listed Rubicon.
Sources :
Read more on these links below:
http://www.guardian.co.uk/business/2012/jun/13/sir-stelios-low-cost-african-airline-fastjet
http://www.africareview.com/Busines...eality/-/979184/1427250/-/ccm0ca/-/index.html
N.B
Hata Precision Air ya Tanzania ikae makini kwani kuna mkakati mkubwa wa vita vya kibiashara kimataifa baada ya Air Tanzania itakuwa PecisionAir, Coastal n.k. Wizara husika za serikali ya Tanzania zinatakiwa kuwa na mkakati endelevu wa pamoja na makampuni ya ndege ya ki-Tanzania kuweza kukabiliana na changamoto hii kubwa ya kupoteza kabisa makampuni ya ndege ya Ki-Tanzania ktk zama hizo za ukoloni mkongwe kupitia utandawazi (globalization).