ATCL yaelemewa na madeni, yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa IATA

Status
Not open for further replies.
Wakuu inabidi tujiulize
Imekuaje tumepata hayo madeni wakati hatukua na ndege ? Hizo international flight zilifanyikaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza maden yalipatikanaje. Kwa kukusaidia tu,kama ulikopa au kutumia huduma bila kulipia,umevunja mkataba,umekiuka mashart...Utalipia tu. Angalia usije mwuliza mzee wako umepatikanaje.
 
Unauliza maden yalipatikanaje. Kwa kukusaidia tu,kama ulikopa au kutumia huduma bila kulipia,umevunja mkataba,umekiuka mashart...Utalipia tu. Angalia usije mwuliza mzee wako umepatikanaje.
Mkuu, hayo madeni yamepatikanaje kwani air Tanzania imewahi kufanya international routes ? Na kwa ndege zipi ? Hilo ndio swali
Huwezidaiwa school fees na huna mtoto unaesomesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi wa shirika la ndege la Tanzania ATCL Ladislaus Matindi amesema kwamba madeni yanayoliandama shirika la ndege la Tanzania ATCL yamesababisha liondolewe kwenye mfumo wa malipo wa shirikisho la mashirika ya ndege duniani IATA.

Source: Azam tv

Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema hivyo lini?
Manake hii issue ni ya kitambo sana, mpaka ikabidi last year ATCL waingie ubia na shirika jingine la nchi gani sijui wawasaidie kuuza tickets zao.
 
Nacheeeeka!!!

1. Taarifa ni ya siku nyingi

2. ATCL ilikuwa inadaiwa madeni ya siku nyingi wakati inafanya kazi

3. ATC mpya imejizatiti kuweka mambi yotr sawa

NB:
Deni dawa yake ni kulipa, wanaodhani tafiti hazikufanyika na wanaoombea shirika life washangilie waendelee kusubiri kama fisi anavyosubiri mkono wa binadamu udondoke!!!
ATC mpya imekuja kivingine
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom