Wadau,
Tunabaki tunakurupuka kama kawaida yetu na kuishia kuwaonyesha watanzania kwamba kukosoa kumbe ni rahisi kuliko kuongoza. Tunaishi kwa majungu na utafutaji wa njia za mkato wa kupata umaarufu kwa wananchi.
==> Si maneno yangu wana jamvi, bali ni maneno ya mdau wa karibu wa Stanbic<===
bora kutenguliwa kwa kutenda mema kuliko kuharubu heshima na utu wako,
paul chizi ni mzalendo na watanzania tumeona hilo.
as for mwakyembe,kila lifanyikalo gizani huonekana kwenye nuru,ngoja tuone uteuzi mpya wa binamu ytaleta nini!
Huyu mdau ndie amekurupuka, alichofanya Mh. Waziri ni ni kutengua uteuzi wa Mr. Chizi ambao ulikiuka sheria husika, na wala sio kwa makosa ya ulaji unaouzungumzia. Hao watendaji wengine wamesimamishwa kupisha uchunguzi na kama hakuna matatizo haki itendeke, sasa wasiwasi wa nini?
Imefikia mahala watu tunapewa ku-KAIMU nafasi hata mtu hajathibitishwa akiambiwa atoke inakuwa nongwa?
utachunguza pasipo na tatizo,wanamaliza kodi zetu kwa kuchunguzana upuuzi.makosa yanaonekana lakini wachunguza,haya chizi hana hatia anachunguzwa,pesa izo jamani hizo tume hazifanyi kazi bure ni kodi za wananchi na mie nikiwemo.Ivi kukaimu si kama probation!
After all chuya na mpunga vitajulikana baada ya uchunguzi sasa hawa wanaolalama wakati uchunguzi bado what do u mean?
Ndaga fijo.
Well Said, i believe they will turn back to him.Afterall huyo Lusajo is acting as well tuu. Baada ya haya manung'uniko ya watu wengi huku na i believe Dr mwakyembe naye huwa anasoma huku, namuomba atumie busara zake kumrudisha Mr. Chizi as an appointed CEO and not acting.Tujiulizeni kwanini Community airline ilikufa?Ni kwa sababu ya strategies zao za fare ndogo,watu wakaipiga chini.And nani alikuwa MD wa Community airline kwa wakati huo?Alikuwa Mr. Chizi(He knnows well marketing ya haya mambo ya aviation ndio maana alianza kufanikiwa na kazi yake anaijua ipasavyo.Hivi ni vitu vingapi ambavyo vinawagusa watanzania moja kwa moja na vikiguswa tuu,mkono wa mtu unaingia.Haya mashirika inabidi tuyafungie novena ili yaweze kuamka(ATCL,TRL,UDA,NMC etc).MUNGU atudaidie tuu tuweze kuepuka na hiki kipindi kigumu tulicho nacho kwa sasa.