ATCL kupata ndege mpya Septemba

Nilijiuliza sana, rubani Ila hana viwango, nafikiri wamepeleka mhasibu

Inawezekana kabisa rubani akawa hana viwango.

Je unadhani kila dereva anaweza kuendesha kila gari unaloliona barabarani? Ndio maana kuna leseni na madaraja tofauti. Lugha ndio imekuwa tatizo, wameshindwa kueleza ni kwa namna gani hana viwango.
 
Hapa nakuelewa, sasa walikuwa wanategemea nini? Angemudu vipi? Hata sielewi
 
Hapa nakuelewa, sasa walikuwa wanategemea nini? Angemudu vipi? Hata sielewi
Hapo ndio linakuja suala la matumizi mabaya ya ofisi na mamlaka. Kila taaluma ina miiko yake, taratibu za kupanda madaraja na kustaafu pia.
 
Hizi ndege zina speed ya 350NM na matumizi ya mafuta ya 103kg/h, kwa hesabu hii itachukua masaa matatu mwanza dar sawa na gharama ya laki tatu kwa kila safari, kwa maana nyingine ikifanya safari za mwanza dar mara tatu kwa siku ndani ya miaka mitatu pesa ilisharudi, achilia safari za dar dodoma tabora na kigoma, hili ni jambo la kupongezwa sana, sasa watupunguzie na nauli iwe elfu sabini.
 
Back
Top Bottom