ATCL kunazidi kunoga

ATCL kunazidi kunoga

Sakata LA Jburg vipi ? Nimesikia kuna aibu huko !!! Wamekataliwa kupokelewa pia kufanya conference yeyote uwanjani....wakarudi kimya kimya kwa aibu....waandishi wamepigwa mkwara wasiandike

Walipokelewa Kwa vifijo na nderemo
 
Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.
Are you making profits??? Suala kubwa ni faida siyo safari ngapi. Kama mnapata faida safi sana!!!!
 
Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.
bibii.. tupe mregesho wa safari mbona kimyaaa!!! mmefika au bado mnatalii angani? 😀 😀 😛
1149626
 
Nimeseme wazi kuwa Mimi ni mtanzania na ninaipenda chi yangu ila kwa kinachofanyika kwenye shirika hill ni uswahili uliopitiliza.

Kwanza kabisa ni bei zao ziko juu mno wananchi wa kawaida hawawezi kuaford. pili wanahold booking ili bei zipande ndio wazielease. Unafanya booking lets say ya mbeya wiki nzima unaambiwa no seat unawapigia simu wanakujibu siku hizi tunajaza sana then unakosa option unaamua kutumia njia nyingine ya usafiri, asubui unaingia tena kuangalia unakuta wamerelease booking ticket ni 375,000 unaamua kujikaza hivyo hivyo unachukua ticket

kituko unaenda kwenye ndege unakuta seat empty zaidi ya 30 UPUUZI MTUPU
wamewafukuza washindani wao FASTJET walijua wakishindana WATASHINDWA wakaamua kutengeneza figisu kwa kumtumia yule msanii wao ajifanye ameinunua FASTJET afu wambambike makodi na vibali ili wamtoe wabaki wao na WALIFANIKIWA so kilichofuata ni kuongeza nauli kuwa juu sababu wanajua hawana mshindani. wakaruka juuuuu mpaka SAUZI... GHAFLA!! wamegeuzia angani...😀😛😀✌ SHWAIN KABISA!!😎
 
Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.
1565852157087.png
 
Kiongozi sore, huyo mrembo wa avatar yako ni wewe au nani?
 
Shirika la ndege la Tanzania, (ATCL) limeanza Safari yake ya kwanza leo kuelekea Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege yake aina ya Airbus Mkurugenzi wa Shirika hilo, Mhandisi Ladslaus Matindi amesema itakuwa inafanya Safari zake mara nne kwa wiki.
 
Atakuwa anaongelea lile kubwa lenye seat 262. Kujaza lile kazi kweli kweli hasa kutokana na nauli zao kuwa juu sana. Wakati ule linaanza lilikuwa na unafuu fulani mfano Dar- Kilimanjaro ilikuwa 98000 Sasa hivi ni habari nyingine.
Ndugu muogope Mungu, Airbus ina seating capacity 134.. sasa hiyo 150 inatoka wapi?
 
Liko uraianiiiiii.... Alisikika mrevi mmoja akipayuka huku anakata mauno miuno hadharani
IMG-20190904-WA0023.jpeg
 
Back
Top Bottom