ATCL, Kuna soko Marekani

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,211
5,936
Too many travelers, too few planes is U.S. airlines' 737 MAX summer dilemma
 
mpaka atcl wapate leseni naruhusa ya kwenda marekani hilo tatizo litakuwa limetatuliwa, kupata ruhusa ya kupeleka ndege yako marekani ni kazi ndefu, mashirika mengi mfano kenya airways hujiona wamefanikiwa sana pale wanapopata ruhusa ya kwenda marekani, ni juzi tu kenya airways ndio wamepata permit hiyo na inaonekana wameitafuta kwa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"nasrimgambo, SHARTI MOJA NA KUBWA UWE NA NDEGE WALIZOTENGENEZA WAO- NA SIE TUNA DREAMLINER YAO TUOMBER TWENDE KAMA INACHUKUA MUDA TUWAKODISHIE
 
Back
Top Bottom