yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,589
- 1,320
Jiwe halisikiagi na halishaurikiMzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur.
Jiwe halisikiagi na halishauriki
Ukienda huko kwa watalii wachache ndio wataongezeka...!!walikuwa hawaji partly because hakukuwa na direct flight.Ndio kuna watalii wengi Huko? Tuliambiwa hili dege ni mahususi kwa kuvutia watalii kuja kutembea nchini kwetu, Leo linageuzwa kuwa ambulance, mweee
Ha ha haana...Ndio kuna watalii wengi Huko? Tuliambiwa hili dege ni mahususi kwa kuvutia watalii kuja kutembea nchini kwetu, Leo linageuzwa kuwa ambulance, mweee
Utaambiwa sio mzalendo.Ni swala zuri sana ila je abiria wapo kiasi gani? Isije kuwa kama KQ walienda wakaamua kupunguza safari maana ndege ilikua yarudi robo.
Afu ni ngumu MTU kuacha Emirates, Qatar na Etihad kupanda ATCL/KQ
Nadhani hii route ni nzuri sana kwa kuanzia. Kla nikipanda ndege kutoka Doha, Addis Ababa etc inakuwa imejaza wachina na wahindi. Wakipata route ya direct to Dar wataitumiaNi swala zuri sana ila je abiria wapo kiasi gani? Isije kuwa kama KQ walienda wakaamua kupunguza safari maana ndege ilikua yarudi robo.
Afu ni ngumu MTU kuacha Emirates, Qatar na Etihad kupanda ATCL/KQ
aisee... Ndio hii iliondoka na mzee majuto jana?Ndio kuna watalii wengi Huko? Tuliambiwa hili dege ni mahususi kwa kuvutia watalii kuja kutembea nchini kwetu, Leo linageuzwa kuwa ambulance, mweee
aisee... Ndio hii iliondoka na mzee majuto jana?Ndio kuna watalii wengi Huko? Tuliambiwa hili dege ni mahususi kwa kuvutia watalii kuja kutembea nchini kwetu, Leo linageuzwa kuwa ambulance, mweee
Tena kama spika wa bunge atakuwa analipanda bure kwenda kutibia kisukari chakeNdio kuna watalii wengi Huko? Tuliambiwa hili dege ni mahususi kwa kuvutia watalii kuja kutembea nchini kwetu, Leo linageuzwa kuwa ambulance, mweee
Ila kuna wahindi wengi sana mjini hapa wataipanda wakienda makwaoHa ha haana...
Ambulance to mumbai