Inasikitisha sana,sana sanaaa jinsi hili shirika linatia aibu kwa Dunia hii ambayo hata Rwanda waliokuwa na ndege 1 sasa hivi wametupiga gap.
Nina imani nchi kama zambia na burundi zitatupiku mwaka huu.
ATCL kila mwaka linapata hasara billions and billions of money afu lipo tu.
Lifungwe ndege ziuuzwe tujue moja kuwa hatuwezi kuliendesha hili shirika.
Ni aibu mbaya zaidi kusikia shirika la ndege la saud arabia linafanya ubia na Ethopian Airways na Air China kuliwezesha kufikia more than 200 destinations around the world.