Wivu tu. WapuuzeWewe kweli typical bavicha, ikipaki maana yake mbovu kwako??
Yote kwa yote kwanini ipaki dar imekosa abiria ikipaki mwanza mbovu!Sometimes hata ishu ya wese inahusika... Sema tu watu wanaombea sana..
Ubaya wa majawabu mengine unaweza kukuta yote si sahihi.Yote kwa yote kwanini ipaki dar imekosa abiria ikipaki mwanza mbovu!
Ubaya wa majawabu mengine unaweza kukuta yote ni sahihi.Yote kwa yote kwanini ipaki dar imekosa abiria ikipaki mwanza mbovu!
hahahah ataua kweli!!Wakiri kuwa ni mbovu thubutu, mwenye pangaboi zake si ataua mtu.
Ulishawahi kuona gari la biashara limepaki mkuu, tena si kwa siku moja basi tuseme dereva anaumwa.Wewe kweli typical bavicha, ikipaki maana yake mbovu kwako??
Tatizo wese ndugu yanguYote kwa yote kwanini ipaki dar imekosa abiria ikipaki mwanza mbovu!
Hapana inabidi isubiri marubani wamalize likizoKama marubani wako likizo itajiendesha yenyewe?
Sasa hata mkaguzi hakuruhusiwa kupitia hesabu zake, na hazipo kwenye ripoti yake iliyowakilishwa.hahahah ataua kweli!!
kumbe jamaa ni yake yote yote??
hapo sawa ni kama prvate entitySasa hata mkaguzi hakuruhusiwa kupitia hesabu zake, na hazipo kwenye ripoti yake iliyowakilishwa.
Ni kwa vile Dar sio Mwanza....Yote kwa yote kwanini ipaki dar imekosa abiria ikipaki mwanza mbovu!
Mbofuuu bana. Misifa ya kijinga tu kuigaiga. Iga ufe
Mbofuuuu banaNini ndege hata MKEO UNATAKIWA UMPUMZISHE !!
Daah, imekuwa daladala!!!Ilikuwa inangoja abiria