McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,360
- 1,644
Umesoma mfano wa mgonjwa niliyemtaja?Ni ushauri mzuri lkn usidhani zinapelekwa kienyeji halafu tusijitie upofu, shirika hili linamadeni yasiyolipika
Kumbuka ndege hizi ni Mali ya serikali majibu mengine ya uendeshaji utayapata humo.
Shirika liko vzr na linatoa Huduma bora na mpaka nauli Dar - Mwz imeshuka sababu ya ATCL
Mgonjwa kuombewa hakuna tatizo inategemea anaumwa nn? Kama ni Maruhani hospital akafanye nn?
Shirika lolote haliwezi kutoa huduma nzuri na bora km hakuna fedha na kuthamini muda. Chukueni fedha lipa madeni taratibu, wafanyakazi na kuboresha huduma.
Mkishamaliza kulipa madeni, faida inagawanywa nusu. Nusu inabaki na nusu nyingine inapelekwa hazina.
Ktk biashara yyte ile muda una thamani sana kuliko unavyofikiri na usipozingatia muda unaua shirika mapema sana.
Ndiyo maana hata Tanesco wangepata washindani, Tanesco ingebaki na wateja wachache sana km ilivyo TTCL sbb wanafanya biashara kwa mazoea na siyo ushindani.