ATCL chukueni maamuzi magumu

ATCL chukueni maamuzi magumu

Nia ya kuleta Uzi huu sio kubeza ATCL kwa vile sisi ni wazalendo tunaeleza ukweli ili kujitathmini. Kama tutafufua ndege ile iliyopo hangani tutaweza kupambana na ushindani.

Nadhani kwenye ushindani swala la uzalendo sio sawa kwani mashirika yote yanawaudumia watanzania na yanalipa kodi nchini. Ili shirika lolote likue lazima litoe huduma nzuri kwa wateja na si kubebwa kwa sababu ni la serikali. Yapo mashirika mengine ambayo si ya serikali lakini ni ya watanzania wenzetu sasa ukifikiri kuwa uzalendo ni kupenda cha serikali tu nadhani hapo si sawa.
 
Shirika kama shirika liko sawa na wanajitahidi saana, tatizo lipo katika ushindani wa kibiashara, chuki, wivu na kutothamini vya kwetu.

Abiria wanapata matatizo katika mashirika karibu yote ya ndege hapa nchini tena yanayofanana lkn kwingine wanaona ni bahati mbaya, wavumiliwe na ni hali ya kawaida, ikitokea ATCL lalalala matatizo yote ya FASTJET,P/AIR NK yatalundikwa kwa ATCL ili lionekane limeshindwa.

Tujifanyie clinic sisi wenyewe hivi kweli tunajivunia mafanikio haya, tupo pamoja kwenye changamoto za kibiashara, wapo walioacha kazi na wanapenda kurudi lkn nafasi hakuna kundi hili linachuki.

Wapo ambao wanapenda kona, kona hawataki kuendana na wakati kujiiinua kimafunzo kwa kufuata taratibu sahihi hawa wana wivu.

Tuliunge mkono ni la KWETU.
Mkuuu umenena ukweli, tumepotoka sana. Kuna kikundi cha watu hapa JF kila kitu wanalazimisha wachangiaji wote tuseme mabaya tuuuu ya Nchi yetu lkn wanasahau kuwa humu Jukwaan kuna Wakenya, Wanyarwanda nk je tumeona wakikandia vya kwao kiasi hicho? Tunahitaj councelling tunaumwa vichwan
 
Nashukuru mengine umekubali kuwa ni kipaji chako, umerekebisha tu pale ulipoona upeo wa ufahamu wako ulipoishia.
Tatizo la kutumia viungo vya mwili kufikiri badala ya ubongo..kama ulienda shule kufuta ubao ni wewe,endelea kutetea Shirika linalokufa
 
Sijalelewa hivyo ,sijafundishwa hivyo zaidi tu ya kukujibu akifikiriacho MTU ndicho kinachomuongoza, jirekebishe ili uweze kutumia viungo sahihi.
 
Endelea kuwa mfuasi wa kibwetele mana watu mnaoshikiwa akili mpo wengi ,bado kidogo ATCL watakupa Tuzo.
 
Utake ,usitake ufuasi huwa ni wa hiari au lazima hivyo Wewe unajua huko kwenye kundi gani?

Ukifikiriacho kwa mwenzako ndicho ulichonacho wachungaji ni wengi mjini nenda kwenye maombi iliurudishiwe unachodhani unacho kumbe hunacho
 
Wachungaji ndo wadudu gani?
 
Shirika kama shirika liko sawa na wanajitahidi saana, tatizo lipo katika ushindani wa kibiashara, chuki, wivu na kutothamini vya kwetu.

Abiria wanapata matatizo katika mashirika karibu yote ya ndege hapa nchini tena yanayofanana lkn kwingine wanaona ni bahati mbaya, wavumiliwe na ni hali ya kawaida, ikitokea ATCL lalalala matatizo yote ya FASTJET,P/AIR NK yatalundikwa kwa ATCL ili lionekane limeshindwa.

Tujifanyie clinic sisi wenyewe hivi kweli tunajivunia mafanikio haya, tupo pamoja kwenye changamoto za kibiashara, wapo walioacha kazi na wanapenda kurudi lkn nafasi hakuna kundi hili linachuki.

Wapo ambao wanapenda kona, kona hawataki kuendana na wakati kujiiinua kimafunzo kwa kufuata taratibu sahihi hawa wana wivu.

Tuliunge mkono ni la KWETU.
Uzalendo haulazimishwi! Mjitafakari!
Tuliposema hatuna buku, mkasema tupige mbizi,

Tulipoomba pesa za wasamaria waliochangia misaada Kagera, mkasema serikali haikuleta tetemeko,

Tuliposema huyu jamaa awajibike kwa kuvami chombo cha habari, mkasema hampangiwi cha kufanya,

Tuliposema tunaomba haki kuangalia Bunge live, mkasema hatutafanya kazi,

Tulipoomba haki ya kuandamana kwa amani, mkasema hamjaribiwi!

Pumbaf zenu!
 
Sema mwenye akili siyo ufahamu.
Kamusi mikononi mwako, tumia simu yako kujifunza kutoa hoja na kuitetea kwa ufasaha kwa kile unachoamini ni sahihi, wengine wanapata uelewa pia.

Lkn kujitoa ufahamu na kuamua kutumia lugha ambazo hata ww mwenyewe unajua huwezi kuzitumia mbele za watu si uungwana.

Yawezekana una lengo lako ambalo unadhani limeshindwa au litashindwa ni vyema kukaa kimya maana ukimya ni busara iliyopitiliza.

Endelea kutumia neno UFAHAMU linajitosheleza.
 
Uzalendo haulazimishwi! Mjitafakari!
Tuliposema hatuna buku, mkasema tupige mbizi,

Tulipoomba pesa za wasamaria waliochangia misaada Kagera, mkasema serikali haikuleta tetemeko,

Tuliposema huyu jamaa awajibike kwa kuvami chombo cha habari, mkasema hampangiwi cha kufanya,

Tuliposema tunaomba haki kuangalia Bunge live, mkasema hatutafanya kazi,

Tulipoomba haki ya kuandamana kwa amani, mkasema hamjaribiwi!

Pumbaf zenu!
Ulichokielezea kinafafanuzi zake lkn hapa sio mahala pake.

Na hicho ulicho quote haviendani ,tukubaliane au tukubaliane kutokukubaliana kwenye hoja iliyoko mezani.

Halafu toa Uzi wako tuchangie .

Neno la mwisho ulilotumia si jema.
 
Mkuu nilicho quote kina lawama juu ya kukosekana kwa uzalendo miongoni mwa Watanzania, sasa nimeweka baadhi ya facts ambazo kwa namna moja au nyingine zina discourage uzalendo!

Mjitafakari
 
Back
Top Bottom