Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,165
- 29,866
Walishindwa kuajiri professionals wana ajiri makada wa chama ili kilinda siri za chama na upogaji wadani kwa dani.Je, umesafiri kwa ndege za ATCL hivi karibuni?
Basi utakumbana na madudu ambayo yalikuwepo miaka takriban 20 iliyopita.
Schedules za ndege ni kizungumkuti.
Unaweza kusubiri ndege airport utafikiri unasubiri basi la kwenda Igunga.
Ndege kuchelewa kuondoka kwa masaa 3 hadi 4 sasa ni jambo la kawaida.
Jumatano iliyopita mxungu mmoja na ana lafudhi ya Afrika Kudini alifoka sana kukalishwa airport kwa masaa 12, na bado hakupata.
Tatizo inaelekea lipo katika Operation au Flight Scheduling, nilivyosafiri majuzi rubani aliomba radhi kwa hilo, hapo ni baada ya flight kuchelewa masaa manne!
Watu badala ya kuondoka saa moja jioni safari inaanza saa saba na nudu usiku, na kugika kwa mfano Mwanza alfajiri!
Fast Jet walikuwa na ndege mbili tu, sasa ATCL wafikirie kujiondoa kuendesha shirika, limewashinda.
Wawakodishie Fast Jet, wanaoijua biashara.
Kwa keli AtC kuna matatizo makubwa!Walishindwa kuajiri professionals wana ajiri makada wa chama ili kilinda siri za chama na upogaji wadani kwa dani.
Kwa kweli AtC kuna matatizo makubwa!
Hili shirika lisipobinafishwa litakufa muda si mrefu.Je, umesafiri kwa ndege za ATCL hivi karibuni?
Basi utakumbana na madudu ambayo yalikuwepo miaka takriban 20 iliyopita.
Schedules za ndege ni kizungumkuti.
Unaweza kusubiri ndege airport utafikiri unasubiri basi la kwenda Igunga.
Ndege kuchelewa kuondoka kwa masaa 3 hadi 4 sasa ni jambo la kawaida.
Jumatano iliyopita mxungu mmoja na ana lafudhi ya Afrika Kudini alifoka sana kukalishwa airport kwa masaa 12, na bado hakupata.
Tatizo inaelekea lipo katika Operation au Flight Scheduling, nilivyosafiri majuzi rubani aliomba radhi kwa hilo, hapo ni baada ya flight kuchelewa masaa manne!
Watu badala ya kuondoka saa moja jioni safari inaanza saa saba na nudu usiku, na kugika kwa mfano Mwanza alfajiri!
Fast Jet walikuwa na ndege mbili tu, sasa ATCL wafikirie kujiondoa kuendesha shirika, limewashinda.
Wawakodishie Fast Jet, wanaoijua biashara.
Naipenda TTCL....[emoji56][emoji56]Mambo mengi ya serikali yanafelishwa kwa maksudi na baadhi ya watu wenye ushirikiano na sekta binafsi ili mradi ufe halafu sekta binafsi wapate mwanya na wanapewa percent kwenye kufanikisha hilo ipo mifano mingi watu wanaua mashirika ya serikali kwasababu wana mashirika yao binafsi wana ubia nayo na wapo very smart kwenye hilo.
Walikodishe tu, Fsst Jet.Hili shirika lisipobinafishwa litakufa muda si mrefu.
Ilishakabidhiwa kwa private, Ila bado ikafa tu.Raisi anaishi angani na hizo ndege, abiria wanasubiri hizo ndege.
Tulikuwa na Fokker 2, G55 moja, Piper Navajo 1, ziko wapi? Hizo si ndio ndege za raisi? Kwanini hatumii hizo?
Au ndo mambo ya kubeba kijiji kama unaenda ngomani?
ATC ni lazima ikabidhiwe kwa mtu baki ili ijiendeshe kwa ufanisi.
Mambo ya kusubiri PPRA, mara Tender, sijui nini, watachelewa sana!
Je, umesafiri kwa ndege za ATCL hivi karibuni?
Basi utakumbana na madudu ambayo yalikuwepo miaka takriban 20 iliyopita.
Schedules za ndege ni kizungumkuti.
Unaweza kusubiri ndege airport utafikiri unasubiri basi la kwenda Igunga.
Ndege kuchelewa kuondoka kwa masaa 3 hadi 4 sasa ni jambo la kawaida.
Jumatano iliyopita mxungu mmoja na ana lafudhi ya Afrika Kudini alifoka sana kukalishwa airport kwa masaa 12, na bado hakupata.
Tatizo inaelekea lipo katika Operation au Flight Scheduling, nilivyosafiri majuzi rubani aliomba radhi kwa hilo, hapo ni baada ya flight kuchelewa masaa manne!
Watu badala ya kuondoka saa moja jioni safari inaanza saa saba na nudu usiku, na kugika kwa mfano Mwanza alfajiri!
Fast Jet walikuwa na ndege mbili tu, sasa ATCL wafikirie kujiondoa kuendesha shirika, limewashinda.
Wawakodishie Fast Jet, wanaoijua biashara.
Ha ha ha!Atcl ni sawa na mstaaf kafungua Duka, auzi sana, ila anakula bidhaa zake aweze ku survive
Una point, serikali isiingize shughuli zake kwenye biashara ya ATC.Raisi anaishi angani na hizo ndege, abiria wanasubiri hizo ndege.
Tulikuwa na Fokker 2, G55 moja, Piper Navajo 1, ziko wapi? Hizo si ndio ndege za raisi? Kwanini hatumii hizo?
Au ndo mambo ya kubeba kijiji kama unaenda ngomani?
ATC ni lazima ikabidhiwe kwa mtu baki ili ijiendeshe kwa ufanisi.
Mambo ya kusubiri PPRA, mara Tender, sijui nini, watachelewa sana!
Ttcl kila mwaka wanafunga na loss kwenye ripoti ya CAGIkiwezekana na ATCL ifanywe kama TTCL 😄
Kwani Ttcl is performing? Ni yale yaleIkiwezekana na ATCL ifanywe kama TTCL [emoji1]