C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,958 Reaction score 3,704 Oct 27, 2020 #1 Vipi ATC Kwenda Dodoma leo asubuhi? Dk 49 tangu ipae ipo Kisarawe tu inazunguka zunguka? Attachments Screenshot_20201027-065438.png 97.4 KB · Views: 12
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,958 Reaction score 3,704 Oct 27, 2020 Thread starter #2 Chief said: Vipi ATC Kwenda Dodoma leo asubuhi? Dk 49 tangu ipae ipo Kisarawe tu inazunguka zunguka? Click to expand... Naona imerudi Dar baada ya kukaa angani kwa saa 1 hivi.
Chief said: Vipi ATC Kwenda Dodoma leo asubuhi? Dk 49 tangu ipae ipo Kisarawe tu inazunguka zunguka? Click to expand... Naona imerudi Dar baada ya kukaa angani kwa saa 1 hivi.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Oct 27, 2020 #3 Shida ni nini haswa?
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,436 Oct 27, 2020 #4 Tutashuhudia mengi round hii
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,059 Oct 27, 2020 #5 hekimatele said: Shida ni nini haswa? Click to expand... Kuna mtu alikua hatakiwi afike Dodoma
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 Oct 27, 2020 #6 Tanzania ya Magufuli inapaa kiuchumi
Terrible Teen JF-Expert Member Joined May 1, 2017 Posts 1,182 Reaction score 3,441 Oct 27, 2020 #7 Hilo panga boy liliondoka zanzibar na baadaye kuelekea kilimanjaro. Limefika Dodoma saa 3 na dakika 55 sio kawaida.
Hilo panga boy liliondoka zanzibar na baadaye kuelekea kilimanjaro. Limefika Dodoma saa 3 na dakika 55 sio kawaida.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Oct 27, 2020 #8 Mungu ni mkubwa kutuonyesha uwezo wa ndege zilizonunuliwa kwa kodi zetu kwa maamuzi ya mtu mmoja kipindi hiki cha uchaguzi mkuu huu.
Mungu ni mkubwa kutuonyesha uwezo wa ndege zilizonunuliwa kwa kodi zetu kwa maamuzi ya mtu mmoja kipindi hiki cha uchaguzi mkuu huu.
Jitu jeusi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 1,720 Reaction score 2,393 Oct 27, 2020 #9 Aisee
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Oct 27, 2020 #10 Nini cha ajabu hapo,au mgeni wa kupanda ndege?
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Oct 27, 2020 #11 Dsm to dodoma nauli shs ngap????
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,958 Reaction score 3,704 Oct 27, 2020 Thread starter #12 tang'ana said: Nini cha ajabu hapo,au mgeni wa kupanda ndege? Click to expand... Huoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo?
tang'ana said: Nini cha ajabu hapo,au mgeni wa kupanda ndege? Click to expand... Huoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Oct 27, 2020 #13 Bia yetu said: Tanzania ya Magufuli inapaa kiuchumi Click to expand... hapa umekula buku 7 ya Bashiru ya bure kabisa.
Bia yetu said: Tanzania ya Magufuli inapaa kiuchumi Click to expand... hapa umekula buku 7 ya Bashiru ya bure kabisa.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Oct 27, 2020 #14 Chief said: Huoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo? Click to expand... Hakuna cha ajabu hapo mkuu..nazidi kusisitiza.
Chief said: Huoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo? Click to expand... Hakuna cha ajabu hapo mkuu..nazidi kusisitiza.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,073 Reaction score 104,475 Oct 27, 2020 #15 Pesa ya mafuta kuzunguka angani ipo
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,335 Reaction score 6,628 Oct 27, 2020 #16 rich1 said: Dsm to dodoma nauli shs ngap???? Click to expand... Inategemea na booking, precision kuanzia 180k, ATC kitu kama 238k
rich1 said: Dsm to dodoma nauli shs ngap???? Click to expand... Inategemea na booking, precision kuanzia 180k, ATC kitu kama 238k
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Oct 27, 2020 #17 Alvajumaa said: Inategemea na booking, precision kuanzia 180k, ATC kitu kama 238k Click to expand... Duuuuu.....inamaana Naul ya ATC ipo juuu kuliko precision
Alvajumaa said: Inategemea na booking, precision kuanzia 180k, ATC kitu kama 238k Click to expand... Duuuuu.....inamaana Naul ya ATC ipo juuu kuliko precision
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,284 Reaction score 23,579 Oct 27, 2020 #18 Chief said: Vipi ATC Kwenda Dodoma leo asubuhi? Dk 49 tangu ipae ipo Kisarawe tu inazunguka zunguka? Click to expand... Ni maboksi ya bao la mkono hayo wanapata kigugumizi.
Chief said: Vipi ATC Kwenda Dodoma leo asubuhi? Dk 49 tangu ipae ipo Kisarawe tu inazunguka zunguka? Click to expand... Ni maboksi ya bao la mkono hayo wanapata kigugumizi.
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,736 Reaction score 10,364 Oct 27, 2020 #19 Panga Boi
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,059 Oct 27, 2020 #20 fazili said: Ni maboksi ya bao la mkono hayo wanapata kigugumizi. Click to expand... Leo msikubali ku tumwa tumwa ilhali wanaowatuma wako na wake zao wanasubiri matokeo.
fazili said: Ni maboksi ya bao la mkono hayo wanapata kigugumizi. Click to expand... Leo msikubali ku tumwa tumwa ilhali wanaowatuma wako na wake zao wanasubiri matokeo.