ATC Arusha vs MUST Mbeya

ATC Arusha vs MUST Mbeya

Xtra Thinking

Member
Joined
Jun 3, 2025
Posts
39
Reaction score
83
Wakuu chuo kipi kati ya hivi ni kizuri zaidi kwa kozi ya Mechanical Engineering
Je, chuo kipi wahitimu wake wanaheshimika zaidi kama ma engineer bora? Maana nimesikia DIT mainjinia wake wanaheshimika sana
Sasa naomba kuuliza kati ya Arusha Technical College na Mbeya University of Science and Technology, chuo kipi kina hadhi kubwa zaidi kwenye Mechanical Engineering Bachelor Degree?
 
Wee nenda COET kapige uhandisi wako unao utaka, au points hazitoshi kuwa pale?
😂😂😂😂😂
Nina Division II ya 10, sidhani kama naweza kwenda CoET mkuu, ila nilikuwa natamani sana UDSM, sasa na Div II siwezi kwenda
Wewe ulipata Div ngapi ulivyoenda CoET?
 
Wakuu chuo kipi kati ya hivi ni kizuri zaidi kwa kozi ya Mechanical Engineering
Je, chuo kipi wahitimu wake wanaheshimika zaidi kama ma engineer bora? Maana nimesikia DIT mainjinia wake wanaheshimika sana
Sasa naomba kuuliza kati ya Arusha Technical College na Mbeya University of Science and Technology, chuo kipi kina hadhi kubwa zaidi kwenye

mechanical engineering Atc wapo vzr zaidi kuliko must

Nina Division II ya 10, sidhani kama naweza kwenda CoET mkuu, ila nilikuwa natamani sana UDSM, sasa na Div II siwezi kwenda
Wewe ulipata Div ngapi ulivyoenda CoET?
Nenda dit mkuu utapata pale
 
Back
Top Bottom