The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,141
NdioIla yale makaratasi unayotumwagia humu mara kwa mara bando lake unalo

Umeme chief Hangaya anaenda maliza, ujasikia miradi iliyoachwa ya Green City inarudi mmoja Pemba, Kigoma mkoa aliosahau ata mimi naweza mkumbusha ni Singida.
Green City hiyo ni lugha yake by now inabidi tuelewa maza ni mtu wa kuchapia anacho maanisha hapo kwenye Green City ni renewable energy farms ambazo Pemba/Singida kulikuwa na mpango wind farms na Kigoma Solar farm.
Hayo mambo Magufuli aliyakataa na kwenda na Stiglers mradi aujaisha tunakimbilia madeni mengine yasiyo ya lazima (Ndugai akukosea kusema mtakuja kuuzwa).
Why Europeans would want to invest in green energy in Africa sio kwa sababu wanajali sana mazingira yako rather it’s their carbon trade emission policies. Kwao makampuni yana quotas za CO2 unazoweza toa kutoka kwenye viwanda ili uweze kuchafua zaidi kuliko unavyoruhusiwa kawekeze third word in green energy then output saved in CO2 emission huko ulipowekeza unaweza tumia kuchafua zaidi kwao.
Sasa kuna kampuni kama refineries hizi ndio option zao upgrade ya carbon capture technology huko kwao zinagharimu billions of euros and that is sunk cost, wakati uwekezaji wa green energy nchi kama Tanzania wa euro millioni 500 mpaka 700 inakuruhusu kuongeza CO2 huko kwao na bado hela yako inarudi na faida juu maana umeme unawauzia TANESCO.
Hizo ndio investment mama anajisifia kuvuna huko wakati Nyerere plant ikiisha mambo ya umeme sio shida zetu.
Kazi ipo “if you think education is expensive, try ignorance”.
That is what ☝️is all about sikia tu huo mziki ndio uliouwa viwanda vya vyuma huko kwao, kufungwa kwa refineries ndogo na viwanda vingi ambavyo ni heavy polluters. Njia iliyobaki ni kuja kuwekeza nchi maskini ili waendelee chafua kwao; hiyo miradi nyuma yake kuna kampuni zenye pressure huko kwao za mazingira don’t be fooled mwekezaji akijiita green blah blah technology funds ni za watu wengine.
Ndio
Huu uzi nauandika kwa kuangalia trend ya viongozi wetu.
Kila tunapopata kiongozi mkali anayebana mambo mbalimbali anayekuja anaaachia, ni kama vile wanapokezana liberals na republicans japokuwa wote wanatoka chama kimoja kwa muktadha wa nchi yetu.
Kwa kuangalia trend ya uongozi wa sasa naona kabisa watu wamemiss mtu mkali, watu hukohuko ccm wamechoka umeme unakatika hovyo na majibu wanapewa ya kisiasa na inaonekana normal tu.
Wanaenda kufanya mapokezi makubwa na wanashona na sare kabisa kisa tumepokea mkopo, fedha ambazo wangewekeza kwenye mambo mengineyo ya maendeleo.
Kwa ushauri wangu mtu unayetaka kuwekeza na kupata mahela kwenye biashara mbalimbali huu ndio muda, kiongozi atakayekuja atakuwa JPM Pro Max na tutarudi hapa kusema kwanini hatukuwekeza wakati huu .
Usiseme hukuambiwa
JPM alikuwa habari nyingine, ni ngum kupata kiongozi shupavu kama huyo
Kama nchi Gani imedumazwa Na mikopoNi ukweli, nadhani Mama sijui kwa nini anashindwa kuwatumia washauri wa uchumi, mikopo inadumaza
Kuanzia mwakani jiandae Kwa chochoteUtabiri wako tutauona 2030.
Yule shetwani aliyekosa akili akapewa matusi?Ukali bila akili utaishia kuwa kama yule aliyekaribia kuipeleka Nchi Zimbabwe
Viazazi vingi wanaendelea kuwa walaini mzee.Mwaka 2030 ni Mwinyi halafu 2040 aje Sasa huyo mkali akutane Na kizazi hicho
Mleta hoja Kiongozi hatusaidii chochote kwa likatiba la ovyo hili tulilonalo. Hata awe mkali kama pilipili au mpole kama ua kwa likatiba hili la ovyo na lililopitwa na wakati usitegemee muujiza wowote wa KimaendeleoHuu uzi nauandika kwa kuangalia trend ya viongozi wetu.
Kila tunapopata kiongozi mkali anayebana mambo mbalimbali anayekuja anaaachia, ni kama vile wanapokezana liberals na republicans japokuwa wote wanatoka chama kimoja kwa muktadha wa nchi yetu.
Kwa kuangalia trend ya uongozi wa sasa naona kabisa watu wamemiss mtu mkali, watu hukohuko ccm wamechoka umeme unakatika hovyo na majibu wanapewa ya kisiasa na inaonekana normal tu.
Wanaenda kufanya mapokezi makubwa na wanashona na sare kabisa kisa tumepokea mkopo, fedha ambazo wangewekeza kwenye mambo mengineyo ya maendeleo.
Kwa ushauri wangu mtu unayetaka kuwekeza na kupata mahela kwenye biashara mbalimbali huu ndio muda, kiongozi atakayekuja atakuwa JPM Pro Max na tutarudi hapa kusema kwanini hatukuwekeza wakati huu .
Usiseme hukuambiwa
Hapo ungesema tu waislamu ndiyo wanao rudisha nyumq hii nchi kwa kutokuwa wazarendo maraisi wakristo wote wanakuwa shupavu awacheki na wazungu wala wa arabuHuu uzi nauandika kwa kuangalia trend ya viongozi wetu.
Kila tunapopata kiongozi mkali anayebana mambo mbalimbali anayekuja anaaachia, ni kama vile wanapokezana liberals na republicans japokuwa wote wanatoka chama kimoja kwa muktadha wa nchi yetu.
Kwa kuangalia trend ya uongozi wa sasa naona kabisa watu wamemiss mtu mkali, watu hukohuko ccm wamechoka umeme unakatika hovyo na majibu wanapewa ya kisiasa na inaonekana normal tu.
Wanaenda kufanya mapokezi makubwa na wanashona na sare kabisa kisa tumepokea mkopo, fedha ambazo wangewekeza kwenye mambo mengineyo ya maendeleo.
Kwa ushauri wangu mtu unayetaka kuwekeza na kupata mahela kwenye biashara mbalimbali huu ndio muda, kiongozi atakayekuja atakuwa JPM Pro Max na tutarudi hapa kusema kwanini hatukuwekeza wakati huu .
Usiseme hukuambiwa
Ule sio ukali ni ukatili...watu wa kaliba ile hawatokei kirahisi inaweza chukua miaka 100 au zaidi kupata watu wenye tabia zileHuu uzi nauandika kwa kuangalia trend ya viongozi wetu.