Ziada ya tozo katika miamala (kodi za kizalendo) zilileta mjadala mkubwa, wafanya biashara wengi walifunga biashara zao kipindi cha nyuma, mapato ya ndani hayaendani na miradi mikubwa ya kimkakati tuliyoianzisha. Ili tuweze kutekeleza miradi yetu ya kimkakati bila kuwabana raia na wafanya biashara ni bora tutafute pesa nje zenye masharti nafuu kuliko kuitelekeza hiyo miradi au kuminyana sisi kwa sisi.Ni ukweli, nadhani Mama sijui kwanini anashindwa kuwatumia washauri wa uchumi, mikopo inadumaza
Tatizo letu Bongo hao wataalamu wa uchumi wakiingia kwenye siasa husahau taaluma zao nao huwa waimbaji wa mapambio.