Ataweza kupigana na mbuzi huyu binadamu?

Ataweza kupigana na mbuzi huyu binadamu?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
264409_523703881026773_1874822424_n.jpg
 
Nani atakuwa ni mshindi hapo Simba au Yanga?cc geophysics
Mbuzi lazima ashinde kwa sababu akipiga moja tu....jamaa atakinga kwa mkono..safari ya pili dogo hawezi kuhimili position ile ile na akicheza vibaya pembe la mbuzi hilo kwenye fuvu...Utamsikia yupo MOI( Muhimbili Orthopedic Institute)
 
Kwa hiyo usichezee mbuzi? atakushinda nimecheka ile mbaya ulivyosema kwa Moi hahahahahah geophysics
 
Last edited by a moderator:
hapo jamaa lazima aingie mitini, akipokea ndosi moja tu chali?
 
Back
Top Bottom