Atapona Mtu hapa!!!

Tanzania tuna vifaa kama hivi kweli!viko wapi na sehemu gani?mh iman sina
 
Wanaeza pona 7bu huwezijua wamejiandaa je
 
Uskute ni mikwala tu hiyo, jeshi la afrika dhiki tu bana! halina mpango wowote, kuna siku nilikuwa napiga soga sehem sehem na majeshi kama wanne hivi wa kiafrika nchi za kusini mwa afrika hafla ikapita lori ikapasuka tairi. Kulaleki! majeshi walitoka marathon ya nguvu na silaha wakaacha pale pale.
 

Ahahahahaaah!!
 
mkuu Daffi, usijali kufikiri sana juu ya kuwa navyo. Mwenzako Ghadafi alikuwa na hivyo mara 100 lakini kaondolewa madarakani na pick-ups mbovumbovu! Cha msingi hapa hakuna haja ya kuwekeza zaidi kwenye mavifaa ya namna hii bali kuwahakikishia 'wadau' uhakika wa mlo na uhuru wa kuamua watakavyo tu. Hao Al-Shaabab hawana hata kimoja lakini wanawalaza macho wenyenavyo. Ni kazi ngumu kufanys hivyo lskini hskuna jinsi!
Tanzania tuna vifaa kama hivi kweli!viko wapi na sehemu gani?mh iman sina
 
Yapo, ndio yale yanayolipuka kule Gongo la mboto na mbagala...
Tena makali kweli, yanlipuka yenyewe kwa hasira!!
Hao Alshabab wangetuchezea sisi waone shughuli yake!
 
Tanzania tuna vifaa kama hivi kweli!viko wapi na sehemu gani?mh iman sina

Siyo lazima uwe navyo , vita ikizuka vinakuja vyenyewe kutoka kwa nchi supporters ..
 
Haponi mtu!

Wanaweza kupona kwa sababu state imejiingiza katika guerilla war. Guerrillas are always small, hidden, mobile and faster while state are always big, exposed, stationed and slow.
 
kinachoshinda vita sio vifaa
ni mioyo..
IDDI Amin alikuwa na vifaa kutuzidi.....lakini wapi...
 

Ha ha ha ha ha ha
 
Al-shabaab hawatumii silaa nzito, wanatumia ugaidi wa kujilipua kwa kujitoa muhanga. Ni ngumu kuwadhibiti vita ya aina hiyo ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…